Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA CHINA






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini, Wang Ke, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 10, 2020.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini, Wang Ke, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 10, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…………………………………………………………………………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Wang Ke na ameishukuru...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China nchini

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe. Dkt. Lu Youqing  alipofika Wizarani kwa ajili ya kumpongeza kwa kuteuliwa katika wadhifa huo mpya na pia kuzungumzia masuala ya ushirikiano kati ya Tanzania na China. Pembeni ni Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki. Balozi...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na China Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto), akiwa na Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia Balozi Mbelwa Kairuki (wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi. Mindi...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia ) akizungumza na balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake leo kwa ajili ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika linalotarajiwa kufanyika mkoani Arusha, Tanzania mapema Machi, 2015. Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia) juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano hilo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda akutana na Balozi wa Poland

PG4A5670

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Poland nchini, Mhe. Marek Ziolkowskoi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Oktoba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA MSUMBIJI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa msumbiji nchini,Dkt. Vicente Mebunia ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA CHINA JIJINI ABUJA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang kwa mazungumzo oembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014.PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BARAZA LA BIASHARA LA CHINA AFRIKA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Tanzania - China Promotion Centre, Bw. Xian Ding. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini  Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi. Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani