Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda aandaa futari nyumbani kwake Dar

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya Futari leo Jumamosi Julai 26, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wa pili kulia ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova  Rais Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali wakijumuika na waumini wengine katika Swala ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AANDAA FUTARI NYUMBANI KWAKE DAR ES SALAAM‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya Futari jana Jumamosi Julai 26, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wa pili kulia ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova…
...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO MHE JAPHET HASUNGA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSAAFU MHE MIZENGO PINDA, NYUMBANI KWAKE JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akimtembeza Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) kujionea mashamba ya zabibu alipozuru katika eneo la Zuzu leo tarehe 7 Aprili 2020 Jijini Dodoma. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb)...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AWASILI MKOANI DODOMA

waz1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium ya mjini Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015. Wapili kulia ni Rubani wa Ndege za serikali, Narzis Kisimbo , kulia ni Mwalimu Esther Minja na kushoto ni mwalimu Emmanuel Kubyo.Wanafunzi hao walikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ziara ya kujifunza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) waz2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AFANYA ZIARA POLLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA ELIMU WILAYANI MLELE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amekalia oja ya madwati mapya ya plastiki yaliyowekwa kwenye moja ya madara ya shuley amsingi ya Kakuni  wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni Julai 16, 2015Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya msingi ya Kakuni wilayani Mlele Julai 16, 2015. Picha na PMO

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BARAZA LA BAISHARA LA CHINA NA AFRIKA

MZ1 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Tanzania – China Promotion Centre, Bw. Xian Ding. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)MZ01 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika ( Vice...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO, MHE. PETER MIZENGO PINDA KUKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA JUMAMOSI

               
            

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania London unawakaribisha Watanzania wote watakaoweza kupata fursa kuja kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda hapo Ubalozini siku ya Jumamosi (tarehe 12 Julai 2014) kuanzia saa nane mchana hadi kumi na moja jioni (14:00 – 17:00 Hours)


Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kuzungumzia masuala mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu. Aidha atajibu maswali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani