Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA MSANII KUTOKA MKURANGA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na msanii tenzi, nyimbo na mashairi  kutoka Mkuranga, Sauda Shaaban ambaye  alikwenda Bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wake, Adam Malima  (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Pinda uso kwa uso na msanii kutoka Mkuranga!

PG4A3957

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na msanii tenzi, nyimbo na mashairi  kutoka Mkuranga, Sauda Shaaban ambaye  alikwenda Bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wake, Adam Malima  (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana . Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA DANGOTE

da1 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwekezaji kutoka Nigeria anayejenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote (kulia kwake) na ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 30, 2015. Watatu kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini, Dkt. Ishaya Samaila Majanbu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)da2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwekezaji kutoka Nigeria anayejenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote (kulia kwake) na ujumbe wake baada...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda akutana na Balozi wa Poland

PG4A5670

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Poland nchini, Mhe. Marek Ziolkowskoi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Oktoba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye makazi ya Waziri Mkuumjini Dodoma Machi 12, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano waJjamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma Machi, 12, 2014. Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO POLAND

  Baadhi ya Watanzania waishio Poland wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati alipokutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.    Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

 Maafisa wa Ubalozi, Bwana Amos Msanjila na Dada Caroline Chipeta, Wakimkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Mizengo Pinda na Mkewe (Mama Tunu Pinda) walipowasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, London Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Mizengo Peter Pinda akipokewa, kukaribishwa na kusalimiana na baadhi ya Maafisa wa Ubalozi pamoja na Wawakilishi wa Jumuiya za Watanzania waishio nchini Uingereza.
 Baadhi ya Watanzania waliohudhuria Mkutano wao na Waziri...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini  Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi. Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani