Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu wa kwanza kuhamia upinzani

>Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameweka rekodi ya kuwa kada wa kwanza aliyewahi kushika nafasi ya waziri mkuu kukihama chama tawala, CCM na kujiunga na upinzani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Mwananchi

Rajiv Gandhi: Waziri Mkuu wa kwanza kijana India

Rajiv Ratna Gandhi, alikuwa Waziri Mkuu wa sita wa India kutoka mwaka 1984 hadi 1989. Ghandhi alikuwa Waziri Mkuu kijana katika historia ya India, akichukua nafasi hiyo kutoka kwa mama yake, Indira Gandhi.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Pinda mgeni rasmi mkutano wa mashauriano ya awamu ya kwanza uwekezaji DART leo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa mashauriano ya  uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) unaoanza leo.
Mkutano huo wa siku mbili unawakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam (DART), Bi. Asteria Mlambo, amewaambia waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuwa mkutano huo wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua rasmi mafunzo ya Uongozi daraja la kwanza Chuo cha Magereza Kiwira,Mbeya

unnamed (17)Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter  Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura.

unnamed (18)Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA, MKOANI MBEYA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter  Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura. Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza...

 

9 years ago

Habarileo

Meya wa kwanza kambi ya upinzani Arusha leo

MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamemchagua Diwani wa Kata ya Sokoni 1, Kalisti Lazaro kuwa mgombea wa nafasi ya Meya wa Jiji la Arusha huku akijihakikishia nafasi hiyo kwani vyama vingine vya upinzani vina diwani mmoja tu.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mihayo Juma Nhunga (kushoto), wakati akiwasili kwenye uwanja wa Abeid Amani Karume, kumwakilisha Rais Magufuli, kwenye dua ya kumuombea aliyekua Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020....

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KWA WIZARA ZA HUDUMA ZA JAMII KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA - LINDI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akimpongeza Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi  Msuya kwa ofisi hiyo kuwa mshindi wa kwanza kwa Wizara za Huduma za Jamii zilizoshiriki maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi, Tarehe 8 Agosti , 2015. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahia  kombe la kuwa mshindi wa kwanza kwa Wizara za Huduma za Jamii zilizoshiriki maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi,...

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW. -Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vizuri na kwamba aliridhia muamala huu ufanyike. Ndiyo maana katika maelezo yake ya
Bungeni mara kadhaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani