Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI NDALICHAKO AZITAKA SHULE KUACHA KUTUMIA CORONA KAMA KITEGA UCHUMI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amezitaka  Shule kuacha kutumia ugonjwa wa Covid-19 kama kitega uchumi kwa kuagiza fedha za ziada kutoka kwa wazazi; na kuwa Serikali  itachukua hatua kwa shule zinazofanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuzifutia usajili. 

Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo jijini Dodoma alipozungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Mwongozo wa Kudhibiti Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona (Covid-19) katika Vyuo na Taasisi za Elimu nchini uliotolewa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA AMANI TANZANIA YAWATAKA WANASIASA KUACHA KUTUMIA JANGA LA CORONA KAMA MTAJI WA KISIASA, WAUNGA MKONO HOTUBA YA RAIS MAGUFULI

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Amani Tanzania Sadiki  Godigodi(kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo Mei 20 jijini Dar es Salaam wakati akielezea taasisi hiyo inavyomuunga mkono Rais Dk.John Magufuli katika mapambano dhidi ya janga la Corona.Katikati ni Mkurugenzi wa Siasa na Dini wa taasisi hiyo Alhaji Dk.Sule Seif na kushoto ni Mshauri wa taasisi hiyo Issa Mkalinga.
 Mshauri wa Taasisi ya Amani Tanzania Issa Mkalinga (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.Wengine ni...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AZITAKA HOSPITALI ZOTE NCHINI KUACHA KUWADAI DAMU WAGONJWA KABLA YA HUDUMA


Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wachangia Damu Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mapema leo.Picha mbalimbali zikionesha Waziri Ummy Mwalimu akiwajulia hali wananchi waliojitokeza kutoa damu katika Kituo cha Damu Salama kilichopo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.Meneja wa Mpango wa Damu Salama nchini Dkt. Magdalena Lyimo akifafanua jambo kwa Waziri Ummy...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI NDALICHAKO AAHIDI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WABUNGE UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI WASICHANA JIJINI DODOMA.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kuunga mkono juhudi za wabunge katika ujenzi wa shule maalum ya Sekondari ya wasichana inayojengwa katika Kata ya Kikombo wilayani Chamwino, Mkoani Dodoma na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Profesa Ndalichako ametoa ahadi hiyo alipotembelea shule hiyo akiongozana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ili kujionea maendeleo ya ujenzi huo ambapo amesema Wizara itatoa mchango...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Nagu azitaka taasisi za fedha kuacha ukiritimba

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu amezitaka taasisi za fedha kuacha ukiritimba na rushwa katika utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo na wa kati.

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu ataka michezo iwe kitega uchumi

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) na Waziri Kivuli wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema ili michezo nchini ifanikiwe ni lazima igeuzwe kuwa kitega uchumi kwa taifa.

 

10 years ago

Michuzi

JK KUZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas GamaNa Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini..
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro ambapo miongoni mwa shughuli anazotazamiwa kufanya ni pamoja nakufungua jengo la kitega uchumi la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii(NSSF).
Mbali na ufunguzi huo Rais Kikwete pia anatarajia kufungua jengo la Upasuaji na kuweka jiwe la msingi katika jengo la wodi ya...

 

10 years ago

GPL

JK AFUNGUA JENGO LA NSSF LA KITEGA UCHUMI MOSHI

NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro . Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili kushoto) pamoja na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la… ...

 

10 years ago

Michuzi

JK afungua jengo la NSSF la kitega uchumi Moshi

  NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili kushoto) pamoja na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF...

 

5 years ago

BBCSwahili

Corona: India kutumia mabehewa 500 ya treni kama vyumba vya wagonjwa

India kwa sasa imesema itageuza mabogi ya treni 500 kutoa nafasi ya kuweka vitanda elfu 8 vya wagonjwa wa virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani