Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI PROF. MBARAWA AWATAKA TAA NA TCAA KUBORESHA HUDUMA NA KUONGEZA MAPATO

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akipata maelezo ya uboreshaji unaoendelea kufanyika wa kiwanja cha Ndege Terminal Two kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Eng. Suleiman Suleiman jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa TAA Eng. Suleiman Suleiman akimwonyesha Waziri Prof. Mbarawa ujenzi unaoendelea wa jengo la tatu la abiria (Terminal three), ambapo jengo hilo likikamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 6 kwa mwaka.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI PROF. MBARAWA ASISITIZA UWAZI NA UADILIFU TAZARA

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Profesa Makame Mbarawa akitoa maelezezo ya utendaji kwa Naibu Mkurugenzi wa TAZARA Bw. Betram Kiswaga alipotembelea Ofisi za Shirika hilo leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Profesa Makame Mbarawa akiongea na Viongozi pamoja na Wafanyakazi wa TAZARA alipotembelea ili kutoa muongozo wa utendaji kazi katika Shirika hilo. Wafanyakazi wa Shirika la TAZARA Wakimsikiliza Waziri Profesa Mbarawa (Hayupo pichani)...

 

10 years ago

Michuzi

PROF. MBARAWA ASHUHUDIA KWA KUSAINIWA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI AWAMU YA 2B MJINI DODOMA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa (watatu kushoto mstari wa nyuma) akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya mradi wa mawasiliano vijijini Awamu ya 2B ambapo makampuni ya simu ya TTCL, Vodacom na Tigo walisaini. Wanaosaini kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano Injinia Peter Ulanga, Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom,Rosalynn Mworia na Mwakilishi wa kampuni ya MIC,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa afungua mkutano wa wadau waTEHAMA

01

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akifungua mkutano wa siku mbili wa wadau  wa Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la ufa leo jijini Dar es salaam. 

Na Eleuteri Mangi- Maelezo

Serikali imejenga mazingira mazuri kwa wawekezaji ili kuvutia makampuni mbalimbali kuwekeza kwenye sekta ya mawasiliano nchini.

Kauli hiyo imemtolewa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa alipokuwa akifungua mkutano...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU: TUENDELEE KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhi magari 10 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za dhati za Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli za kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora za afya karibu na makazi yao.
Magari hayo 10 ni kati ya magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya sh. bilioni sita yaliyonunuliwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Global Fund. Kati ya magari hayo, 18...

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROF. SOSPETER MWIJARUBI MUHONGO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROF. SOSPETER MWIJARUBI MUHONGO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15

 

5 years ago

Michuzi

Corona imeleta fursa ya kuboresha huduma za afya nchini’: Waziri Ummy










**********************************

Na.WAMJW, Dar es Salaam

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwapo kwa ugonjwa wa Corona nchini, imeleta fursa ya kuboresha huduma za afya katika vituo mbalimbali vya afya hapa nchini.

Michango mbalimbali iliyotolewa zikiwamo vifaa na vifaa tiba zimesaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha huduma za afya na kuokoa maisha kwa wagonjwa mahututi.

Waziri wa afya Ummy Mwalimu ameyasema hayo wakati akizindua upanuzi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

TCAA sasa kuongeza wataalamu

>Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imesema ina upungufu wa wataalam wakaguzi wa marubani wa ndege wapatao 12.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAA kuboresha viwanja mikoani

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege (TAA), imesema itaendelea kuboresha viwanja vya ndege vilivyoko mikoani, ili kila mwananchi aweze kutumia usafiri huo. Ofisa Sheria na Mahusiano wa mamlaka hiyo, Nuru Nyoni,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani