WAZIRI UMMY AUPATIA UONGOZI WA MKOA WA SINGIDA MIEZI SITA KUKAMILISHA VYUMBA VYA HOSPITALI

*****************************
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameupa uongozi wa Mkoa wa Singida miezi sita kuhakikisha unasimamia ujenzi wa jengo lenye vyumba vya Radiolojia, Maabara, Chumba cha upasuaji na Wodi ili uweze kukamilika na kuanza kutoa huduma ifikapo terehe 30 Disemba mwaka huu.
Waziri Ummy ametoa wito huo mapema leo wakati alipotembelea ujenzi wa jengo hilo ambalo bado lipo katika hatua ya msingi linalopatikana katika Hospitali mpya ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. “Wizara imetoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog04 Nov
Agizo la kukabidhi vyumba vya maabara kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida bado kutekelezwa
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari kata ya Ikungi wilayani Ikungi mkoa wa Singida,wakishiriki ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara jana kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, aliagiza akabidhiwe vyumba vitatu vya maabara kwa kila shule ya sekondari 153 za kata za mkoa huo kabla ya oktoba 15 mwaka huu.Mambo yamekuwa tofauti kwa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi ambayo hadi sasa bado ujenzi upo ngazi ya msingi.(Picha na Nathaniel Limu).
5 years ago
Michuzi
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Waziri Ummy Mwalimu amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo.
5 years ago
Michuzi
WAZIRI UMMY AZITAKA HOSPITALI ZOTE NCHINI KUACHA KUWADAI DAMU WAGONJWA KABLA YA HUDUMA

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wachangia Damu Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mapema leo.


9 years ago
Dewji Blog20 Dec
Waziri Ummy Mwalimu avamia Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga, kukagua utoaji wa huduma za afya leo
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wahudumu wa afya (jina lake halikuweza kupatikana kiurahisi) wa dirisha la dawa katika Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya kushtukiza mchana wa leo Disemba 20, 2015.
-Atoa wiki mbili wawe wamefunga mashine ya kukusanya mapato kwa njia ya Kielektroniki ili kudhitibiti upotevu wa mapato yanayotokana na wananchi kuchangia huduma za afya.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
10 years ago
StarTV05 Sep
Wagonjwa hospitali ya mkoa Singida watumia mashuka yao
Wagonjwa wanaolazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida wapo hatarini kupata maambukizi ya magonjwa mengine kutokana na kutumia mashuka wanayotoa nyumbani na kujifunika bila kuyafanyia usafi suala ambali ni kinyume na taratibu na kanuni za afya.
Hii ni kutokana na Hospitali hiyo kuwa na mashuka 235 pekee kati ya 2,500 yanayohitajika, kiwango ambacho ni chini ya asilimia 10 ya mahitaji hivyo kuulazimu uongozi kutoa ruksa kwa kila mgonjwa anayelazwa kwenda na shuka lake.
Wagonjwa mbalimbali...
9 years ago
Michuzi20 Dec
WAZIRI UMMY MWALIMU KATIKA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO MKOANI TANGA, KUKAGUA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA LEO


9 years ago
Dewji Blog19 Dec
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Hospitali ya Mkoa Singida yapigwa tafu ya mashuka na benki ya Posta nchini
Meneja wa benki ya Posta tawi la Singida, Redenoter Rweyemamu, akizungumza kwenye hafla ya benki hiyo kutoa msaada wa shuka 104 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili, kwa hospitali ya mkoa mjini hapa, inayokabiliwa na uhaba wa shuka na kusababisha wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi kitendo ambacho ni kinyume na taratibu.