WAZIRI WA KAZI NA AJIRA,GAUDENSIA KABAKA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA NHIF ARUSHA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-S6DLFIpt0QY/VWSIPTa991I/AAAAAAAHaBI/Wo1_NCrseow/s72-c/1.jpg)
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akizungumza wakati akizindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) jijini Arusha leo,kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa NHIF,Michael Mhando na kulia ni Makamu Mwenyekiti aliyechaguliwa wa Baraza la Wafanyakazi,Deudedit Rutazaa.
Naibu Mkurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini(NHIF),Michael Mhando akitoa hotuba yake leo wakati wa mkutano wa uchaguzi na uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa mfuko huo.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9YemaKultvw/VeqdibmCkeI/AAAAAAAAYuA/WyDimvPjGaI/s72-c/p2.jpg)
WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, GAUDENSIA KABAKA, AZINDUA BODI YA WAFHAMINI MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, WCF
![](http://1.bp.blogspot.com/-9YemaKultvw/VeqdibmCkeI/AAAAAAAAYuA/WyDimvPjGaI/s640/p2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QT_uGsvJYkM/VeqdivWSdiI/AAAAAAAAYuE/ucaZFMMm9ag/s640/p3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-IqUE8j0ZlNk/VeqdgyXP_pI/AAAAAAAAYt4/FyCIDolW_bg/s640/p4.jpg)
9 years ago
Dewji Blog06 Sep
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, azindua bodi ya wadhamini mfuko wa fidia kwa wafanyakazi, WCF
![](http://1.bp.blogspot.com/-9YemaKultvw/VeqdibmCkeI/AAAAAAAAYuA/WyDimvPjGaI/s640/p2.jpg)
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, wakati wakichukua nafasi zao kwenye uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, jijini Dar es Salaam, Septemba 4, 2015. Waziri Kabaka alizindua bodi hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti wake, Bw. Emmanuel Humba.
![](http://1.bp.blogspot.com/-QT_uGsvJYkM/VeqdivWSdiI/AAAAAAAAYuE/ucaZFMMm9ag/s640/p3.jpg)
Waziri Kabaka akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi hiyo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-IqUE8j0ZlNk/VeqdgyXP_pI/AAAAAAAAYt4/FyCIDolW_bg/s640/p4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-tyDWKggX3eU/Veqdo6K7LsI/AAAAAAAAYuQ/7xd3z0KAHR4/s640/p5.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Bw. Emmanuel Humba akipokea chati cha usajili wa...
11 years ago
MichuziWaziri Kabaka azindua Baraza la Wafanyakazi SSRA
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, akifunua pazi ili kuzindua Baraza la Wafanyakazi wa SSRA, Bagamoyo leo.Anayepiga makofi ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka, akisoma hotuba yake na kisha kumkaribisha Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka,...
10 years ago
Michuzi18 Aug
Waziri Gaudensia Kabaka aipongeza TPB kutoa mikopo kwa wastaafu
![Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu ikiwa ni ishara ya kuwaunganisha wastaafu kwenye fursa mara baada ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0079.jpg)
![Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0071.jpg)
11 years ago
GPLWAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Waziri wa Fedha azindua baraza la nne la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu
Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akiwaonesha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aaziFeeLz-o/XmYIwIBht5I/AAAAAAALiKY/_dVfERW1yCwFkTVhdLqLfbBhNWOPZLk4QCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
NAIBU WAZIRI MAVUNDE AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OSHA, ARUSHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-aaziFeeLz-o/XmYIwIBht5I/AAAAAAALiKY/_dVfERW1yCwFkTVhdLqLfbBhNWOPZLk4QCLcBGAsYHQ/s640/0.jpg)
Hayo yamesemwa Jijini Arusha wakati wa ukifunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA),...
11 years ago
IPPmedia25 May
The Minister for Labour and Employment, Gaudensia Kabaka
IPPmedia
IPPmedia
The Minister for Labour and Employment, Gaudensia Kabaka, yesterday came under strong criticism from Parliament over government failure to outline measures to tame youth unemployment. The legislators demanded that the minister should explain what ...
Govt to create over 700000 employment opportunitiesDaily News
all 2
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uA9SOzM9aZ4/U23Rwr4r0aI/AAAAAAAFgoU/BuMcjbbtd8c/s72-c/unnamed+(50).jpg)
DK MIGIRO AZINDUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-uA9SOzM9aZ4/U23Rwr4r0aI/AAAAAAAFgoU/BuMcjbbtd8c/s1600/unnamed+(50).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-jvTvR7HE9Fk/U23Rwghkk1I/AAAAAAAFgoc/wKPtQCgbKRM/s1600/unnamed+(51).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Edj0ucTeH8I/U23Rwoy3ApI/AAAAAAAFgoY/cAKuf2HxdfA/s1600/unnamed+(52).jpg)