Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazuia Rushwa Afrika wakutana Arusha

unnamed (8)

unnamed

Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika Umoja wa Afrika kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha  katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Makamu Mwenyekiti bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA JINSI WATAKAVYOWEZA KUPAMBANA NA KUFIKIA MALENGO YA KUTOKOMEZA RUSHWA NDANI YA BARA LA AFRICA

SAM_2509Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_2498Makamu Mwenyekiti bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa Mh.Florince...

 

10 years ago

Michuzi

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRICA WAKUTANA JIJINI ARUSHA.

Wakuu wa taasisi za kuzuia Ruswa barani Africa wamekutana  katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.
Wakuu hao ambao ni wajumbe wa Bodi ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa barani Afrika AUABC iliyopo chini ya jumuia ya muungano wa nchi za Afrika ambapo mwenyekiti wa Taasisi ya AUABC Jaji Daniel Batidam amesema kuwa wanatarajia kwa mkutano huu utasaidi kupunguza makali ya Ruswa ndani ya...

 

9 years ago

StarTV

Wawakilishi wa haki za wanawake kanda tano za Afrika wakutana Arusha

Wawakilishi wa wanawake kutoka kanda tano za Afrika wamekutana jijini Arusha dhamira kuu ikiwa ni kupigania haki za wanawake hususani walio kwenye maeneo ya pembezoni kuweza kupata haki ya kumiliki ardhi na rasilimali nyingine za asili.

Wanawake hao kutoka katika kanda za Mashariki,Kaskazini,Kati,Kusini na Magharini mwa Afrika wamesema licha ya kwamba katiba na sheria za nchi nyingi za Afrika zinataja uwepo kwa haki sawa ya umiliki wa rasilimali kati ya wanaume na wanawake lakini kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Sera ya Vijana wa EAC

 Mbunge kutoka Kenya Mhe. David Ocheng akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.  Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Jesca Eriyo (kushoto) akitoa mada wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania. Kulia ni mwenyekiti wa Mkutano huo ambaye...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI


kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari  ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.

Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo  wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge Jumuiya ya Madola wakutana Arusha

Spika wa Bunge la Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa CPA Kanda ya Afrika, Anne Makinda.MKUTANO wa 45 wa Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) unatarajia kufanyika kwa wiki moja kuanza leo jijini hapa, huku masuala ya afya ya mama na mtoto, unyanyasaji wa wanawake na ajira kwa vijana vikiwa ni kipaumbele katika mkutano huo.

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SEKTA YA MAWASILIANO WAKUTANA ARUSHA

IMG-20140618-WA0010 Mwenyekiti wa umoja huo(EACO) Francis Wangusi ambaye pia ni  mkurugenzi mkuu  wa tume ya mawasiliano nchini Kenya IMG-20140618-WA0004  Mkurugenzi mkuu  wa tume ya  mawasiliano nchini Uganda Patrick Mwesigwa IMG-20140618-WA0001  Mkurugenzi wa  Watumiaji wa Watoa Huduma za Mawasiliano hapa nchini Dkt.Raynold Mfungahema IMG-20140618-WA0005 Balozi Joseph  Bangurambona wa Burundi akiongea juu ya mkutano huo. IMG-20140618-WA0012
Wadau  zaidi ya mia moja kutoka taasisi za mamlaka ya mawasiliano Afrika Mashariki (EACO} wamekutana jijini Arusha ili kuangalia namna ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa Afrika wakutana Ethiopia

Viongozi wa Bara la Afrika wanafanya Mkutano wao mjini Adis Ababa nchini Ethiopia kujadili maswala yanayokabili bara hilo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani