Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA AGOMEA KAJALA KULISHWA KEKI

Imelda mtema
KATIKA kile kinachoonekana kuwa ugomvi wao bado ni mbichi kabisa, nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu Jumanne wiki hii akiwa ni mshehereshaji katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wa mtangazaji maarufu, Zamaradi Mketema, aligoma kumtaja Kajala Masanja kama mmoja wa watu waliotakiwa kula keki, Ijumaa lina mkanda kamili. Nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Kwenye sherehe hizo zilizofanyika nyumbani kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Tazama Diamond alivyopiga ngoma na kumlisha keki Wema

Tunakupa nafasi ya kuangalia baadhi ya matukio kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Diamond iliyofanyika Golden Jubilee Towers.

 

10 years ago

GPL

WEMA AMUUMBUA KAJALA

STORI: Musa Mateja/Amani HABARI ya mjini ni kwamba, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amedaiwa kumuumbua shosti wake wa zamani, Kajala Masanja kwa kumwaga ‘ubuyu’ kwamba amefilisika baada ya kigogo maarufu kama CK anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake, kuyumba kiuchumi, Amani linakupa mchapo kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Kigogo huyo aliyewahi kuwa na uhusiano...

 

11 years ago

GPL

WEMA, KAJALA LIVE

Stori:  WAANDISHI WETU Hatimaye! Manguli wawili wa Bongo Movies waliokuwa mahasimu wakubwa na kusababisha tafrani kubwa, Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’ na Kajala Masanja ‘K’ hatimaye wamekutana uso kwa uso (live) na kumaliza bifu lao saa chache kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Ijumaa Wikienda limesheheni. Manguli wawili wa Bongo Movies waliokuwa mahasimu wakubwa Wema Isaac Sepetu...

 

11 years ago

GPL

WEMA, KAJALA KIMENUKA

Stori: waandishi wetu Kimenuka upyaaa! Wale mashostito wawili katika kiwanda cha filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao walikuwa marafiki wa kufa na kuzikana, wanadaiwa kuvunja rasmi ushosti wao, Ijumaa limenyetishiwa. Wema na Kajala wakiwa bado mashosti. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki wa mastaa hao, hivi sasa hali ni tete huku sababu mbalimbali zikidaiwa kuwa chanzo cha yote. WEMA KARUDI KWA...

 

10 years ago

GPL

WEMA, KAJALA TENA!

Brighton Masalu
MAJANGA! Wasanii wawili mahasimu katika tasnia ya filamu, Kajala Masanja na Wema Sepetu ‘Madam’ wametengeneza tena vichwa vya habari baada ya kukutana ndani ya klabu ya usiku ya Maisha iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kuzua minong’ono miongoni mwa wadau wengi wa burudani, Risasi Mchanganyiko linakupa hatua kwa hatua. Msanii wa filamu Bongo,Kajala Masanja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani