WEMA ANABWIA UNGA!
![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MDqEVZx7kNkX0P3wQSBt95wgF*OBdVsivzUzDTiFQ65Wyu3G93C7O83Di-7vXYZnZJnk60QvdNYjdg74wKhihZI/RisasiJumamosifrontpage.jpg?width=650)
Musa Mateja PAMOJA na mwenyewe kukanusha kuwa si mtumiaji wa madawa ya kulevya (unga), watu wanazidi kusema eti supastaa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Madam’ anatumia unga, Risasi Jumamosi limesheheni data. Supastaa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Madam’. UBUYU WAVUJISHWA Kwa mujibu wa chanzo makini, Wema amekuwa akitumia kilevi hicho kwa muda mrefu huku akifanya jambo hilo kwa siri...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvTYIRj17r-pkgs69p3EYzIukSbbgFRM8yVcYLoe42uTujiS*WsMCQ14Kzk3vZuUne7ccW0Lb46MBb6XNCpUywQ-/unga.jpg?width=750)
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Irene Uwoya Aumizwa na Maneno ya Wema, Ampongeza Wema kwa Moyo Wakishujaa
“Minashindwa kuwaelewa watu ni kwanini mnapenda sana kutaka kutoa kibanz kwenye jicho la mtu wakat kipande chamti kiko kwenye jicho lako.....nimeumia sana na maneno ya wema,mtoto anapanga MUNGU sio binadamu .....Embu mwachen mtoto wa watu sasa awenaaamani kila siku mnamsema yeye mmnazan anachuma nin Ana moyo,afu kunawatu wanapenda sana kudandia mambo ........mmedandia weweee mme mtukana mtoto wawatu minaomba niwape namba ya MUNGU mumulize yeye kwanin na mumuache mtoto wa watu!sipendag...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Kadinda: Sipendi ‘Drama’ za Wema, Team Wema Msinitusi
Meneja wa staa mrembo, mjasiliamali na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa ‘drama’ zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko mtandaoni maarufu kama Team Wema wasimtukane .
Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Team Wema Wakerwa na Tabia ya Watu Kumzushia Wema
Baada ya Picha za staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na mshindi wa Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye moja ya supermarket hapa jijini Dar kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zaidi ya moto wa vifuu huku kila mtu akiandika lake kuhusiana na kile alichokiaona, Team Wema waneoneshwa kukerwa na tabia za watu kumzushia Wema kwenye mahusiano.
Licha ya ukweli ni kwamba Wema na Idris wanaonekana kikazi zaidi, yaani ulikuwa ni wito maarumu kutoka kwa...
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Team Wema Wakwerwa na Tabia ya Watu Kumzushia Wema
Baada ya Picha za staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na mshindi wa Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye moja ya supermarket hapa jijini Dar kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zaidi ya moto wa vifuu huku kila mtu akiandika lake kuhusiana na kile alichokiaona, Team Wema waneoneshwa kukerwa na tabia za watu kumzushia Wema kwenye mahusiano.
Licha ya ukweli ni kwamba Wema na Idris wanaonekana kikazi zaidi, yaani ulikuwa ni wito maarumu kutoka kwa...