Wema awafunika Jokate, Lulu Pasaka ‘Dar Live’
MSANII maarufu wa filamu nchini, Wema Sepetu ‘Madam,’ ameibuka kidedea katika shindano la msichana mwenye mvuto ‘Ijumaa Sexiest Girl’ na kuwafunika Jokate Mwogelo, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWEMA SEPETU ASHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL, WEUSI, WANAUME FAMILY WAFUNIKA SHOO YA PASAKA DAR LIVE
Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiwa na tuzo yake baada ya kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo. Wema akiwashukuru mashabiki wake waliompigia kura na hatimaye kuibuka mshindi.…
11 years ago
GPLWATOTO WALIVYOSHEREHEA JUMATATU YA PASAKA DAR LIVE
Watoto wakiwa katika bembea. Wakifurahia kupanda sanamu ya ndege. Profesa Calabash akiongea na watoto katika mashindano ya kunywa soda.…
11 years ago
GPLJAHAZI YANOGESHA MKESHA WA PASAKA DAR LIVE
Kiongozi wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf akiwapagawisha mashabiki kwa wimbo wake wa Chozi la mama. Mwanamuziki wa Jahazi, Prince Amigo akiimba kwa mbwembwe.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcKwSIww*u-2kdDlIjsALiw9lkWrmcyB*KS14Dd0Rr*4uE*LvfCsoN4AB7R3BT1G*f9aFqoH6iScnKRk40FduVlk/pasaka.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V3ri3ykXuD59Et-YwD*-4dGwScrS0Y1pQJdF9alxZwtGbGkvhltQo2bqd74JkodwXQeDUI2o70TEoSYV4yq3VRmH002bL1sV/MwanaDar.jpg)
WAKALI HAWA KUTIKISA PASAKA DAR LIVE KESHO
HATIMAYE! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa burudani imewadia ambapo kesho Aprili, 5 (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar mastaa wa muziki Bongo kama, Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’, Isha Mashauzi pamoja na Msaga Sumu wanatarajiwa kutikisa. Ali Kiba akiupagawisha umati wa Dar Live Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8bnWpdLMSD8BpXpNP0S-zImjIdQiKfpaB-bWpUL9Xt-nz5OBLkgpls1AkHGRWrFXMkdbfkcCYhyS-RzzdLqwHc1/PASAKA.jpg?width=650)
11 years ago
GPLWATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA
Mwanamazingaombwe Profesa Calabash baada ya kumchinja kuku tayari kwa kumpika bila kutumia moto. Profesa Calabash akimnyonyoa kuku kwa ajili ya kumpika bila kutumia moto.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
WATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA
Watoto wakijiachia kwa burudani mbalimbali ndani ya Dar Live katika Sikukuu ya Pasaka Aprili 20, 2014. Burudani hizo zilikuwa zikiongozwa na Profesa Calabash aliyewaburudisha kwa michezo kibao bila kusahau…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
TMK WANAUME FAMILY, WEUSI WALIVYOFUNIKA SIKUKUU YA PASAKA DAR LIVE
Wasanii kutoka Makundi ya TMK Wanaume Family na wale wa Weusi walifanya kweli kwa kushusha bonge la shoo katika Sikukuu ya Pasaka ndani ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala, Zakhem jijini Dar es…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania