Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema Sepetu:Wanaoniponda Wengi Wao Wanatumia Tecno na Huawei

Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kumponda, akichezesha taya na Ephraim Kibonde katika kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida hata kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.My Take:Hivi Sister wema hizo simu ulizozidharau unazijua vizuri kweli? Hivi unaweza ku-compare...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO


The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...

 

10 years ago

Bongo5

Wema Sepetu adai hana uwezo wa kuzaa, post yake yawaliza wengi!

Wema Sepetu ana huzuni moyoni. Amepata vyote lakini si mtoto na mbaya zaidi hana uwezo wa kumpata, kwa mujibu wa maelezo yake kwenye Instagram. Wema aliamua kuandika post ndefu kwenye Instagram kuelezea jambo hilo baada ya post ya mwanzo aliyokuwa akimpongeza Hamisa Mobeto kwa kupata mtoto kuambulia maneno ya kashfa kutoka kwa baadhi ya followers […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Hizi ndio salamu za birthday alizopata Jokate leo. Ipo ya Wema sepetu, flaviana matata na wengine wengi.

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwanadada Jokate Mwegelo. Pamoja na salamu nyingi sana za pongezi toka kwa mashabiki wake mastaa hawa hapa chini nao hawakusita kumtakia mwanadada huyu kila la kheri katika siku yake hii.

Flaviana matata : Happy Birthday Jojo @jokatem many happy returns of the day kipenzi.

Elizabeth Michael : Happy birthday beautiful @jokatem have a good one mama...!i love u n u know that

Wema Sepetu:  Awwwwww aint she jus adorable...... And she grew into it pretty well......

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge

Mzee Majuto  kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;

Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani