Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wiki ya mwisho Bunge la Katiba

WIKI hii ni ya mwisho kwa Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na mjadala wake wa kuwaletea Watanzania Katiba mpya. Bunge hilo linaingia wiki ya mwisho wakati Watanzania wengi wamekatishwa tamaa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bunge Katiba mwamuzi wa mwisho, asema Kikwete

>Rais Jakaya Kikwete, amesema Bunge la Katiba ndilo litakalotoa uamuzi wa mwisho kuhusu  Katiba Mpya kabla ya kupigiwa kura ya maoni na wananchi.

 

11 years ago

Mtanzania

Wiki ngumu Bunge Maalum la Katiba

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

Na Maregesi Paul, Dodoma

WIKI hii ni kati ya wiki ngumu zilizowahi kulikumba Bunge Maalum la Katiba lililoanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.

Wakati Bunge linaanza mwanzoni mwa mwaka huu, wajumbe walitumia muda mwingi kujadili sura ya kwanza na ya sita inayohusu muundo wa Serikali na pia walivutana wakati walipokuwa wakijadili kanuni za 37 na 38 za Bunge hilo zinazohusu upigaji kura ya siri au ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe Bunge Katiba wiki ijayo

Rais Jakaya Kikwete.MAANDALIZI ya Bunge Maalumu la Katiba, yamefikia hatua nzuri zaidi na wiki ijayo majina 201 ya wajumbe wa nyongeza wa Bunge hilo, yatatangazwa katika Gazeti la Serikali ili kukamilisha wajumbe 604.

 

11 years ago

Mwananchi

Wiki ngumu Bunge la Katiba yaanza leo

>Bunge Maalumu la Katiba leo linaanza wiki ngumu pale litakapohitimisha mjadala wa muundo wa Muungano na kupiga kura kupitisha au kukataa.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KATIKA SIKU YA MWISHO YA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

 Msanii maarufu wa ngoma za utamaduni Mfalme Siboma akiwa katika banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa alilotembelea katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo Wadau wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakijidai na vyeti vyao vya ushiriki katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani