WiLDAF: Watoto 863 walilawitiwa nchini
UTAFITI uliofanywa na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mwaka 2013 umebainisha kuwa watoto 863 walilawitiwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa mwaka huo. Hayo yalisemwa jana jijini Dar...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 May
RIPOTI: Watoto 863 hufanyiwa ukatili kila mwaka
11 years ago
MichuziWILDAF yaendesha Mkutano kwa Wadau wake wa Kupiga Vita Ukatili Dhidi ya wanawake nchini
10 years ago
StarTV06 Feb
ACACIA yakabidhi Sh. Mil. 863 Halmashauri ya Tarime
Na Jumanne Ntono,
Mara.
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia inayofanya kazi zake katika mgodi wa North Mara Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwasaidia wananchi kujiletea maendeleo kutokana na mabadiliko makubwa ya kiutendaji yaliyofanywa na kampuni hiyo hivi karibuni.
Akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 863 kwa Halmashauri ya wilaya ya Tarime kama kodi ya tozo la huduma, Meneja mgodi wa Acacia North Mara, Gary Chapman amesema...
10 years ago
Dewji Blog27 Dec
NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...
11 years ago
Habarileo07 Mar
WiLDAF yapongeza mshikamano wa wanawake
SHIRIKA la Wanawake katika Sheria na Maendeleo (WiLDAF), limepongeza ushiriki na mshikamano wa wanawake kuelekea kupata katiba mpya kwa namna walivyojitokeza kwa wingi na kutoa maoni yao.
11 years ago
MichuziMaadhimisho ya siku ya Mwanamke wa Afrika yaliyo ratibiwa na -WiLDAF yafana jijini Dar es salaam
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
More than 700 killed in Saudi Hajj stampede and 863 injured in crush at Mina outside Mecca, Saudi’s
At least 717 people have been killed in a stampede at the annual Hajj pilgrimage, Saudi Arabia’s civil defence directorate said, as the death toll continued to rise.
The directorate said at least 863 other pilgrims were injured in Thursday’s stampede, which took place in Mina, on the outskirts of the holy city of Mecca.
The injured have been evacuated to four different hospitals in the Mina region, according to a civil defence spokesman.
Mina is where pilgrims carry out a symbolic stoning of...
10 years ago
MichuziMaadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na WiLDAF yafana jijini Dar es salaam
Octoba 11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Maadhimisho haya yalifanyika katika Hoteli ya Double Tree, Dar es Salaam.Washiriki wa maadhimisho hayo wakiwa katika picha ya pamoja.Mmoja wa washiriki waliofika kwenye hafla hiyo ya maadhimisho ya siku ya...
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WiLDAF) LAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DSM
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10