WILLIAM RUTTO — HONGERA RAIS KIKWETE KWA KUKUZA TASNIA YA FILAMU NCHINI TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-oQ2Fn-JWsI0/VcH6Bd83ndI/AAAAAAAAhnc/g9Qqb7f_zro/s72-c/ruto.jpg)
Makamu wa Rais Wa Kenya, Mh William Rutto akifungua maonyesho ya pili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Utamaduni Festival yajulikanayo kama JAMAFEST kwa kuwakaribisha washiriki kutoka nchi zote za Afrika Mashariki katika ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Kenyatta uliopo jijini Nairobi, Nchini Kenya.
Makamu wa Rais wa Kenya, Mh William Rutto akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kenyatta kabla ya ufunguzi wa maonyesho ya JAMAFEST...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-SkMPsdIvSUk/VhI_waS226I/AAAAAAAAiZM/AQ_XmvRQ7jk/s72-c/proin.jpg)
Mchango wa Proin Promotions ltd katika Kukuza tasnia ya filamu Nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-SkMPsdIvSUk/VhI_waS226I/AAAAAAAAiZM/AQ_XmvRQ7jk/s640/proin.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VlNLqSwOmBc/Uu-ZmasafyI/AAAAAAAFKsQ/w6RU9uz5F1A/s72-c/unnamed+(47).jpg)
Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-VlNLqSwOmBc/Uu-ZmasafyI/AAAAAAAFKsQ/w6RU9uz5F1A/s1600/unnamed+(47).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jgjF-mr0UUU/Uu-ZprOo1wI/AAAAAAAFKsk/5AGV2k4Fr-o/s1600/unnamed+(46).jpg)
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
MJADALA: Mapinduzi ya Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania
ZAMARADI MKETEMA ameandika sehemu....
“…Natamani sana siku moja atokee mtu kwenye hii sekta atutambulishe hata kama sio kimataifa basi africa tu. R.I.P KANUMBA alianza kuonesha mwangaza na juhudi binafsi zilionekana na kila mtu aliona huenda angefika mbali.. lakini baada ya hapo sioni tena!!!!
Mbona hapa nyumbani ni wakubwa tu..? Nini kinawakwamisha..? Kwanini wasanii wetu wa filamu ukubwa wao unaishia nyumbani tu....!!? Tatizo ni nini!!!????? kiukweli ni kama inakatisha tamaa na inaonekana...
10 years ago
VijimamboWADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA
10 years ago
MichuziKamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Tasnia ya filamu nchini yachangia kutoa ajira na kuongeza pato la taifa
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo akielezea namna sekta ya Filamu ilivyo piga hatua hapa nchini wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Genofeva Matemu na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bi. Fatma Salum.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...