Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WINDHOEK WAFANYA KWELI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO MOVIE KATIKA UKUMBI WA EAST 24 MWISHONI MWA WIKI

 Mwenyekiti wa Bongo Movie akitoa maneno kwa wageni waalikwa pamoja na wasanii wa bongo movie na muziki nchini waliohudhuria sherehe hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa East 24.  Keki ikikatwa kama ishara ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bongo Movie ikiwa imetimiza miaka 3  Rich Rich akilishwa keki na Mwenyekiti. Mwenyekiti wa Makampuni yaliyo chini ya Proin Group Of Companies, Bw Johnson Lukaza akipokea cheti cha kuthaminiwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bongo Movie kama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WINDHOEK BEER YADHAMINI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA KLABU YA BONGO MOVIE ITAKAYOFANYIKA KESHO NDANI YA UKUMBI WA EAST 24

 Mwenyekiti wa Bongo Movie, Bw Steve Nyerere akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa East 24 uliopo Arcade house Mikocheni.  Steve Nyerere akinadi kinywaji cha Windhoek ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe ya Kutimiza Miaka 3 ya kuzaliwa kwa Bongo Movies, Sherehe itakayofanyika katika Ukumbi wa East 24 uliopo Arcade House Mikocheni jijini Dar Es Salaam Ijumaa ya tarehe 28. Rais wa FM Academia Nyoshi Ali Sadat akiongea na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Green Waste Pro Ltd yaadhimisha sherehe ya kutimiza miaka miwili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa

1

Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam hususani kwenye manispaa ya Ilala.

2

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014.

3

  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.Picha na John Banda wa Pamoja Blog. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viwanjani mwishoni mwa wiki

Ligi kuu ya England imeendelea kwa mechi mbili ambapo..Arsenal imeibamiza Man City ,Huku Westham Ikiibamiza Hull City bao 3-0

 

9 years ago

Mtanzania

Ray C kufanya shoo Kenya mwishoni mwa wiki

ray-cMWANAMUZIKI aliyepitia changamoto za matumizi ya dawa za kulevya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, mwishoni mwa wiki anatarajiwa kufanya onyesho nchini Kenya.

Onyesho hilo la kumrudisha mwanadada huyo aliyewahi kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kukata kiuno na kuimba litafanyika katika mji wa Malindi.

Umbo na uwezo wake wa kunengua kwa madoido na sauti nzuri aliyokuwa nayo ndivyo vilivyompa umaarufu kwa idadi kubwa ya wapenda burudani nchini Kenya, Uganda na Tanzania.

Lakini hata...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete katika sherehe za kutimiza miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani lindi

 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akimnadi Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kiwalala kupitia CCM, Bwana Shineni Hamis Zahoro wakati wa sherehe za miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha Kiwalala terehe 1.2.2014. .  Mama Kikwete akimwaga sera za CCM  Kicheko  Ngoma ya Tambiko inayochezwa na wananchi wa kabila la wamakonde nayo ilikuwa ni kivutio tosha wakati wa sherehe za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani