WINDHOEK BEER YADHAMINI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA KLABU YA BONGO MOVIE ITAKAYOFANYIKA KESHO NDANI YA UKUMBI WA EAST 24
Mwenyekiti wa Bongo Movie, Bw Steve Nyerere akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa East 24 uliopo Arcade house Mikocheni.
Steve Nyerere akinadi kinywaji cha Windhoek ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe ya Kutimiza Miaka 3 ya kuzaliwa kwa Bongo Movies, Sherehe itakayofanyika katika Ukumbi wa East 24 uliopo Arcade House Mikocheni jijini Dar Es Salaam Ijumaa ya tarehe 28.
Rais wa FM Academia Nyoshi Ali Sadat akiongea na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWINDHOEK WAFANYA KWELI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO MOVIE KATIKA UKUMBI WA EAST 24 MWISHONI MWA WIKI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JaaIjingYwIJdYxllBFVzBC-QPYBqYxHQQ0Kn1lG9iFSo7c7LAST9MjHZKH1vVKP3hxP3BwoaELwbP*xMET-Xxw*YMxgEkVT/imrs.php.jpg?width=650)
RAIS WA ZIMBABWE ATAFANYA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 91 KESHO
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Kampuni ya Green Waste Pro Ltd yaadhimisha sherehe ya kutimiza miaka miwili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam hususani kwenye manispaa ya Ilala.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye...
11 years ago
MichuziSHEREHE ZA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE ZAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
11 years ago
GPLSHEREHE YA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE YAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE
11 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.