Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA ZIMBABWE ATAFANYA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 91 KESHO

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe. Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, kesho atafanya sherehe kubwa ya kutimiza miaka 91 kwa kuchinja tembo wawili. Sherehe hizo zitafanyika kwenye mji wa Victoria Falls na zinaandaliwa na chama tawala ZANU-PF kinataka kukusanya dola za Kimarekani milioni 1 kwa ajili ya sherehe ya kesho. Wageni wapatao 20,000 wanatarajiwa kuhudhuria. Hata hivyo, mashirika ya kutetea ulinzi wa wanyama pori yamemkosoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WINDHOEK BEER YADHAMINI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA KLABU YA BONGO MOVIE ITAKAYOFANYIKA KESHO NDANI YA UKUMBI WA EAST 24

 Mwenyekiti wa Bongo Movie, Bw Steve Nyerere akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa East 24 uliopo Arcade house Mikocheni.  Steve Nyerere akinadi kinywaji cha Windhoek ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe ya Kutimiza Miaka 3 ya kuzaliwa kwa Bongo Movies, Sherehe itakayofanyika katika Ukumbi wa East 24 uliopo Arcade House Mikocheni jijini Dar Es Salaam Ijumaa ya tarehe 28. Rais wa FM Academia Nyoshi Ali Sadat akiongea na...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete katika sherehe za kutimiza miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani lindi

 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akimnadi Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kiwalala kupitia CCM, Bwana Shineni Hamis Zahoro wakati wa sherehe za miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha Kiwalala terehe 1.2.2014. .  Mama Kikwete akimwaga sera za CCM  Kicheko  Ngoma ya Tambiko inayochezwa na wananchi wa kabila la wamakonde nayo ilikuwa ni kivutio tosha wakati wa sherehe za...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Green Waste Pro Ltd yaadhimisha sherehe ya kutimiza miaka miwili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa

1

Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam hususani kwenye manispaa ya Ilala.

2

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014.

3

  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

WINDHOEK WAFANYA KWELI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO MOVIE KATIKA UKUMBI WA EAST 24 MWISHONI MWA WIKI

 Mwenyekiti wa Bongo Movie akitoa maneno kwa wageni waalikwa pamoja na wasanii wa bongo movie na muziki nchini waliohudhuria sherehe hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa East 24.  Keki ikikatwa kama ishara ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bongo Movie ikiwa imetimiza miaka 3  Rich Rich akilishwa keki na Mwenyekiti. Mwenyekiti wa Makampuni yaliyo chini ya Proin Group Of Companies, Bw Johnson Lukaza akipokea cheti cha kuthaminiwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bongo Movie kama...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete ampongeza Mzee Mwinyi kwa kutimiza miaka 90


Rais Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo jana alitimiza umri wa miaka 90.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sea Cliff na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mstaafu awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi kwa kutimiza miaka 90 wakati wa sherehe ya kuzaliwa kwake iliyofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ahudhuria Sherehe za Miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji

Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi amkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete katika uwanja wa Michezo wa Michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji.Msumbiji ilipata uhuru wake tarehe25 June mwaka 1975 kutoka kwa mkoloni Mreno.(picha na Freddy Maro).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani