Wiz Khalifa akamatwa akijisaidia hadharani
Rapper Wiz Khalifa Jumamosi iliyoisha alijikuta matatani baada ya kukamatwa na polisi akijisaidia haja ndogo hadharani. Tukio hilo lilitokea mida ya saa nane na nusu usiku huko Pittsburgh, Marekani. Khalifa, ambaye jina lake halisi ni Cameron Jibril Thomaz, alikuwa ametoka kutumbuiza kwenye tamasha la Midnight Madness. Lil Wayne alitumbuiza pia. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 May
WIZ KHALIFA AKAMATWA NA BANGI UWANJA WA NDEGE
Rapa wa muziki wa nchini Marekani Wiz Khalifa amedakwa na polisi katika uwanja wa ndege mjini Texas baada ya kukutwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bangi wakati wa zoezi la ukaguzi ndani ya mabegi yake.
Staa huyo anayetamba na ngoma yake ya “Black and Yellow” alikuwa akisafiri kutoka El Paso kwenda Dallas wakati maafisa wa uwanja wa ndege walipokuta mzigo huo ndani ya begi lake ambapo kwa mujibu wa sheria aliwekwa kizuizini na baadae kufikishwa kituo cha polisi.
Lakini Rapa huyo hakuonyesha...
10 years ago
Bongo519 Oct
Video: Wiz Khalifa — Most of Us
10 years ago
Bongo524 Oct
Music: Wiz Khalifa — ‘Just Because’ + ‘Outsiders’
9 years ago
Bongo529 Dec
Video: Wiz Khalifa – King of Everything

Baada ya kuahidi kuachia project mpya ‘Project Khalifa’ itakayotoka January 2016, hii ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo zake ambazo hazikuwahi kutoka, itakayofatiwa na studio album mpya ‘Rolling Papers 2’, rapper Wiz Khalifa anaufunga mwaka kwa kuachia video nyingine ‘KING OF EVERYTHING’. Itazame hapa
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...
11 years ago
Bongo506 Aug
New Video: Wiz Khalifa — Promises
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Wiz Khalifa, Amber Rose warudiana
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose amejikuta akirudisha moyo kwa baba mtoto wake, Wiz Khalifa, baada ya kuusilikiza wimbo wa msanii huyo uitwao ‘See You Again’.
Taarifa za kurudiana kwao zinaeleza kwamba Amber Rose baada ya kuusikia wimbo huo ukipigwa kwenye filamu ya Furious 7, alionekana mnyonge akakumbuka maisha walipokuwa wawili baada ya hapo alimpigia simu Wiz Khalifa akamuomba warudiane.
“Sisi ni wazazi japokuwa kulikuwa na mgogoro, lakini...
9 years ago
Bongo510 Nov
Music: Wiz Khalifa — Fucc Day

Wiz Khalifa starts off the week by blazing up some new music. On “Fucc Day,” produced by Ricky P, the Taylor Gang chief comes through and breaks off his girl anytime, anyplace.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Mtoto awarudisha Amber Rose na Wiz Khalifa
Wiz Khalifa akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose.
INAWEZEKANA! Staa wa Hip Hop, Wiz Khalifa pamoja na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose hivi karibuni walijikuta wakila Sikukuu ya Krismasi kwa pamoja huku sababu kubwa ya kurudiana ikitajwa kuwa ni mtoto wao, Sebastian (4).
Chanzo kilicho karibu na mastaa hao, kinaanika ubuyu kuwa, wawili hao tangu watengane Septemba 2014 kila mmoja amekuwa akila bata kivyake lakini uthibitisho tosha ulijidhihirisha hivi karibuni baada ya Amber kuweka...
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Amber Rose, Wiz Khalifa wadumisha upendo
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya penzi la Wiz Khalifa na Amber Rose kuyumba, kwa sasa wawili hao wameonekana kulidumisha penzi hilo kwa kufanya mitoko mbalimbali ya wazi.
Tangu warudi kwenye uhusiano miezi miwili iliyopita, kwa sasa wamekuwa wakiwa pamoja mitaani na mtoto wao kwa ajili ya kulitangaza penzi lao jipya.
“Ni furaha kubwa kuona familia ikiweza kulea mtoto, sikukuu hii tumeweza kutoka na mtoto wetu kwa ajili ya kuonesha upendo, tunaweza kuwa familia ya mfano bora,” aliandika Amber...