Wiz Kid naye aanika saa yake ya almasi… icheki hapa!
Lagos, Nigeria
MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria, Wiz Kid, leo ameionyesha saa yake ya almasi, kwenye mtandao wa Instragram.
Wiz Kid
Picha ya saa hiyo aina ya Rolex ilikwenda sambamba na maneno “Frosted!!! @josephfrostoflondon!!” aliyoyaandika kwenye mtandao huo.
Joseph Frost ni muuza vito mashuhuri jijini London, Uingereza, ambapo miongoni mwa wateja wake maarufu ni mcheza soka wa Togo Emmanuel Adebayor, na wanamasumbwi Amir Khan na David Haye.
Hivi majuzi mwanamnuziki huyo alifyatua ‘remix’...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen06 Nov
From scary Halloween to Wiz Kid in Dar
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Christian Bella awatamani Fally Ipupa, P Square, Wiz Kid
9 years ago
MillardAyo25 Dec
List ya wachezaji 10 bora wa Marca 2015 imetoka, Cristiano Ronaldo amekuwa wa tatu kutoka mwisho, icheki hapa …
Mwaka 2015 ni umekuwa ni mwaka wa mafanikio kwa klabu ya FC Barcelona ya Hispania kwani imefanikiwa kutwaa mataji matano, FC Barcelona ambayo inatajwa kuwa ni timu namba moja kwa ubora duniani, kwa mwaka 2015 imefanikiwa kutwaa mataji ya Copa del Rey, European Super Cup, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na Klabu Bingwa Dunia, wachezaji wake sita […]
The post List ya wachezaji 10 bora wa Marca 2015 imetoka, Cristiano Ronaldo amekuwa wa tatu kutoka mwisho, icheki hapa … appeared first on...
9 years ago
Bongo516 Dec
Music: Wiz Khalifa atoa mixtape mpya, ‘Cabin Fever 3’ isikilize yote hapa!
![wizwizi1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/wizwizi1-300x194.jpg)
Staa wa muziki wa Hip Hop Marekani, Wiz Khalifa ameachia mixtape yake mpya ‘Cabin Fever 3’ na kutimiza ahadi kwa mashabiki wake.
Rapper huyo anatarajia kuachia album yake ijayo, Rolling Papers 2 mwakani, 2016.
Cabin Fever 3 ina nyimbo 11 na huu ni muendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2012, Cabin Fever 2.
Kwenye Cabin Fever 3 amewashirikisha wasanii kama Juicy J, K Camp, Kevin Gates, Curren$y, Problem, Chevy Woods na King Los. Producers waliosaidia kukamilisha project hii ni pamoja na TM88,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqwfbGiJvV1T0OmU-7srAdhS1tFzy3Gejt*8JB4WFRisvw8crpRIZSH4aYPgC2TKr-8ssKD5-4x2XDTZXTi9Fiv1/mwasiti.jpg?width=650)
MWASITI AANIKA MAISHA YAKE!