Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MIPANGO 2014/15

Mtaalam wa uchumi  katika Wizara ya Viwanda na Biashara Gevaronge Myombe (katikati)  akizungumza jambo. Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 yapitishwa na Bunge

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi A.Mussa kushoto akimpongeza Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Abdallah Kigoda Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge  Balozi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa UN Mhe. Modest J.Muro wapili kushoto akimpongeza Waziri wa Biashara na Viwanda  Mhe.Abdallah Kigoda Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge leo,wa kwanza...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Mwananchi

Wizara ya Viwanda na Biashara ni mzigo

Laiti Rais Jakaya Kikwete angekuwa na utaratibu wa Serikali yake kufanya tathmini endelevu ya utekelezaji wa kazi wa mawaziri katika wizara zote, angegundua kwamba zipo baadhi ya wizara ambazo viongozi wake ni mizigo isiyobebeka kutokana na kutofanya kazi, huku wakilipwa mishahara minono.

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO ZANZIBAR AFUNGA MAFUNZO YA SIKU TATU JUU YA VIKWAZO VYA BIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akifunga mafunzo ya siku tatu kwa washiriki juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar. Mwakilishi wa TradeMark Afrika Mashariki kupitia Tanzania Asaac Mtwale akiwashukuru washiriki wa mafunzo juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru bara maada ya kufungwa kwa mafunzo hayo katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar. Baadhi ya washiriki wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na watendaji Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kkulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Viwanda na Biashara ilivyoshiriki katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Ofisa Mkuu wa Wakala wa Vipimo, Zainabu Kafungo akielezea jinsi baadhi ya wafanyabiashara wanavyoiba kupitia mizani wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara.  Maofisa wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Huzaina Mushin na Kamala Gombe, wakitoa Elimu kwa wageni waliotembelea banda la Wizara hiyo katika maonyesho ya  wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnaza Mmoja,Dar es Salaam  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wizara ya viwanda na biashara yashiriki maonyesho ya wiki ya utumishi Mnazi Mmoja

1z

Mkurugenzi wa Utawala Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Mary Mwangisa akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Wizara yake katika maonyesho ya wiki ya Utumishi yanaoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam, Kushoto ni Debora Mofati Afisa Tawala wa Wizara hiyo.

2z

Mkurugenzi wa Utawala Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Mary Mwangisa wa tatu kutoka kulia na Fredy Mndewa Kaimu Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi kushoto wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani