WIZI WA BIBLIA WAMPONZA KIBAKA DAR, WANANCHI WAMPA KIPIGO 'PAKA MWIZI'
![](https://1.bp.blogspot.com/-2eqWQ7Kbuuk/Xt0KdVBeQVI/AAAAAAALs64/W5UDZKkYchMuknwRj4gfWP4aE0ksNyBUgCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Ndonga mkazi wa Majumbasita jijini Dar es Salaam amejikuta akipokea kipigo cha 'Paka mwizi' kutoka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukwapua Biblia ya muumini wa dini ya Kikristo aliyekuwa akielekea Kanisani.
Tukio hilo limetokea leo Juni 7,2020, saa 12 asubuhi Njia Panda ya Segerea eneo la reli ambapo kijana huyo kabla ya kukwapua Bibli hiyo alitoa panga lake na kisha kumpiga na ubapa wa panga mgongoni muumini huyo...
Michuzi