Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wolper:Mwaka 2015 ni Mwaka wa Kuishi Utakavyo!!!

Mrembo na mwigizaji  wa filamu hapa bongo, Jackline Massawe “Wolper”  akionekana amekaa kochini akiwa na kinywaji mkononi,  aliandika maneno haya mara baada ya kubandika picha hiyio hapo juu;

“ 2015 ni mwaka wakuish utakavyo na huu 205678 ni mwaka wakuishi watakavyo ..Kauli mbiu bwana nazikubali sana”

Hii kwako imeaaje?!!!

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

9 years ago

Michuzi

KANUNI MPYA ZA HUDUMA ZA ZIADA ZA MWAKA 2015 ZA SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA YA MWAKA 2010

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Sayansi na TekinolojiaPriska Olomi (kushoto) , akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam leo, kuhusu kutungwa kwa kanuni za huduma za ziada kwa makampuni ya simu nchini zitakazo walinda watumiaji wa huduma hizo,kulia ni Mkuu wa kitengo cha Sheria wa Wizara hiyo,Veronika Sudayi. (Picha na Hassan Silayo).
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KANUNI MPYA ZA HUDUMA ZA...

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya… ...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR

Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa hotuba fupi kwa Maofisa wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani) katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. sherehe hiyo imefanyika Januari 9, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza, Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa neno fupi kabla ya kumkaribisha rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(wa tatu...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA BAJETI YA FEDHA YA MWAKA KWA MWAKA 2015/16 LEO

Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akionesha Mkoba wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Mapato na Matumizi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi...

 

10 years ago

Habarileo

Jela mwaka mmoja kwa kuishi nchini kinyemela

Pingu.RAIA wa Nigeria Amos Emeka (41) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh 100,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuishi nchini bila kibali.

 

10 years ago

GPL

MWAKA HUO UNAYOYOMA, UNAENDELEA KUISHI KWENYE PENZI LA GIZA?

NAMSHUKURU Mungu kunikutanisha kwa mara nyingine na nyinyi marafiki zangu ambao mmekuwa mkifuatilia makala zangu kipitia safu hii ya Love & Story. Huu ndiyo uwanja wetu wa kupeana mawili matatu yahusuyo masuala ya uhusiano. Kupitia hapa tunaweza kubadilika kama kweli tunaamua kubadilika. Kwenye maisha kila kitu kinahitaji kuweka nia katika jambo fulani, kuliwekea mikakati na hatimaye kulifanikisha.Usikubali kuishi bila kujiwekea...

 

10 years ago

GPL

MWAKA HUO UNAANZA KUSOGEA, UNAENDELEA KUISHI KWENYE PENZI LA GIZA?

WIKI iliyopita tuliianza mada hii ambayo inatufundisha juu ya umuhimu wa kujitambua kupitia makosa tuliyoyapitia, leo tunaimalizia. Hakuna sababu ya kuishi katika penzi ambalo halina muelekeo mzuri wa baadaye kama ulivyoishi mwaka jana, ni bora kujiengua na kusubiri kumpata yule atakayetambua thamani ya penzi lako na kupanga mipango endelevu. Kwa wale tuliokuwa pamoja, tuliishia kwenye kipengele cha TATIZO SUGU. Nilieleza namna...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MATOKEO YA TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA YA KWANZA YA MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Morrice Oyuke (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam wakati akitangaza matokeo ya takwimu za Pato la Taifa kwa robo mwaka ya kwanza kuanzia mwezi Januari – Machi, 2015 ambayo yameonyesha kuwa thamani ya Pato la imekua na kufikia shilingi trilioni 21.9 ikilinganishwa na shilingi trilioni 18.6 ya robo mwaka ya kwanza ya mwaka 2014. Kushoto kwake ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa Daniel Masolwa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani