Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yafahamu makundi ya damu na mahusiano yake na magonjwa

Kama wengi wetu tunavyofahamu, damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne; A, B, AB, na O. Lakini pia makundi haya kutokana na aina ya mfumo kinga wa Rh.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

YAFAHAMU MAKUNDI YA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna makundi manne makuu ya vidonda vya tumbo ambayo leo tutawafahamisha.
Lakini kabla ya kuelezea makundi hayo ifahamike kuwa tafiti zimeonesha kwamba karibu asilimia 70 mpaka 90 ya vidonda vya tumbo husababishwa na aina ya vimelea vya bakteria wajulikanao kama Helicobacter pylori.   Makundi hayo ya vidonda vya tumbo ni haya yafuatayo:- Mosi, kuna vidonda vinavyotokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo (Gastric...

 

11 years ago

Mwananchi

Yafahamu magonjwa saba yanayozuilika kwa chanjo-1

Chanjo ni mojawapo ya mbinu za kitabibu kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa mbalimbali yanayoikabili jamii.

 

11 years ago

GPL

MAKUNDI MATATU YA MAGONJWA YA NGONO

Magonjwa ya kuambukizana kupitia kufanya ngono yaani kwa  Kiingereza  yanaitwa  Sexually Transmitted Infections (STI) yamegawanyika katika makundi matatu. Maambukizo hutokea pale majimaji ya mwili kama vile mate, damu, manii, majimaji ya ukeni na kadhalika ya mtu ambaye tayari ameambukizwa, yatatangamana na ya mtu ambaye hajaambukizwa.
Kuna  aina nyingi ya magonjwa hayo ya STI  na yamegawanywa katika makundi...

 

11 years ago

GPL

MAKUNDI MATATU YA MAGONJWA YA NGONO-2

TUNAENDELEA kuwafafanulia kuhusu makundi matatu ya magonjwa yatokanayo na kujamiiana yaani ngono ambayo tulianza kuyachambua wiki iliyopita. Endelea. Wapo wanawake wanaopata magonjwa hayo kutokana na kubakwa au utumiaji wa madawa ya kulevya au pombe ambayo husababisha kukosa ufahamu na hivyo kufanya ngono zembe.
Kuwa  mwangalifu  wakati  wote  iIi  usiweze  kutumbukia kwenye tabia hizo. Ikibidi kujamiiana...

 

5 years ago

Michuzi

AMUUA MAMA YAKE MZAZI KISHA KUINYWA DAMU YAKE


Na.Vero Ignatus Arusha.
Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha linamshikilia Daniel Emmanuel (32) Mkazi wa Sakila wilayani Arumeru,  kwa kukutwa akinywa damu ya mama yake Mzazi Eliyamulika Emmanuel Sarakikiya (79) kwenye kikombe, baada ya kumuua kwa shoka na kutenganisha shingo,mkono na mguu na kiwiliwili.

Akizungumza kwa masikitiko, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana amesema mtuhumiwa huyo alifanya mauaji hayo Mei 15 mwaka huu, majira ya saa 9:00 mchana katika Kijiji cha Sakila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani