Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKUNDI MATATU YA MAGONJWA YA NGONO

Magonjwa ya kuambukizana kupitia kufanya ngono yaani kwa  Kiingereza  yanaitwa  Sexually Transmitted Infections (STI) yamegawanyika katika makundi matatu. Maambukizo hutokea pale majimaji ya mwili kama vile mate, damu, manii, majimaji ya ukeni na kadhalika ya mtu ambaye tayari ameambukizwa, yatatangamana na ya mtu ambaye hajaambukizwa.
Kuna  aina nyingi ya magonjwa hayo ya STI  na yamegawanywa katika makundi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAKUNDI MATATU YA MAGONJWA YA NGONO-2

TUNAENDELEA kuwafafanulia kuhusu makundi matatu ya magonjwa yatokanayo na kujamiiana yaani ngono ambayo tulianza kuyachambua wiki iliyopita. Endelea. Wapo wanawake wanaopata magonjwa hayo kutokana na kubakwa au utumiaji wa madawa ya kulevya au pombe ambayo husababisha kukosa ufahamu na hivyo kufanya ngono zembe.
Kuwa  mwangalifu  wakati  wote  iIi  usiweze  kutumbukia kwenye tabia hizo. Ikibidi kujamiiana...

 

10 years ago

Raia Mwema

Makundi matatu ya wagombea urais CCM

KAMA ilivyokuwa katika makala zangu kadhaa zilizopita, wiki hii ninaendelea na mjadala kuhusu Uch

Evarist Chahali

 

10 years ago

Mwananchi

Yafahamu makundi ya damu na mahusiano yake na magonjwa

Kama wengi wetu tunavyofahamu, damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne; A, B, AB, na O. Lakini pia makundi haya kutokana na aina ya mfumo kinga wa Rh.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya virusi vya corona: Kwanini virusi vya corona vina tabia ya magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono

Utafiti wa virusi vya Covid-19 ulikadiria kwamba kiwango kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo hutokea siku moja au mbili kabla ya mtu aliyeambukizwa kuanza kuonyesha dalili.

 

9 years ago

Dewji Blog

Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo

uefa euro 2016

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;

GROUP A;

Ufaransa

Romania

Albania

Switzerland

GROUP B;

Uingereza

Urusi

Wales

Slovakia

GROUP C;

Ujerumani

Ukraine

Poland

Northern Ireland

GROUP D;

Hispania

Jamhuri ya Czech

Uturuki

Croatia

GROUP E;

Belgium

Italia

Jamhuri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Magonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania

Ahmedabad Apollo hospital

Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania  vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, na takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni.

Magonjwa haya ya moyo yanasababisha vifo vipatavyo idadi ya watu milioni 12 kwa mwaka duniani kote. Hata hivyo shirika la Afya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Makaburi matatu kuwekwa wi-fi Moscow

Makaburi matatu yanayotembelewa sana na watu jijini Moscow yatawekewa huduma ya mtandao ya wi-fi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mambo matatu yaitesa CCM

MBIO za kusaka urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), na uteuzi wa nafasi nne za mawaziri, vinaelezwa kukibomoa chama hicho, Tanzania Daima limedokezwa. Mbali na mambo hayo, mchakato...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani