Yajue maajabu ya ndege zisizotumia rubani
Shirika la Ujasusi la Israel Mossad limetoa tangazo fulani la kazi kwa njia ya video. Kwenye video hiyo wanaonyesha ndege isiyo na rubani (drone) inavyomfuatilia mtu na kumpiga picha kwa matumizi yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Jun
TEKNOLOJIA: Tanzania tunaweza kutumia ndege zisizotumia rubani
>Hatujaifikia teknolojia hiyo, lakini tunaweza kuwekeza katika ubunifu na kufikia mahali pa kutengeneza au kuzitumia katika shughuli mbalimbali. Nazungumzia ndege zisizo na rubani maarufu kwa jina la ‘Drones’.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydV7SS8D4daRP6OlLGXtYoL6VAz*HNF15zb40VyQU3v04m-QwowesOyH18SlMfj3oP9iZSzEGynMHtoKIaPx4ILY/mafuta.jpg?width=650)
YAJUE MAAJABU YA MAFUTA YA SAMAKI
HAYA unaweza kuyaita ni maajabu ya mafuta ya samaki baada ya kuonesha uwezo wa kuponya hata ‘mfu’ aliyekwisha tangaziwa kifo na madaktari bingwa. Ni kisa cha kweli kilichotokea nchini Marekani hivi karibuni na kuoneshwa na Kituo cha Televisheni cha CNN ambacho kinaaminika na kutizamwa na mamilioni ya watu duniani. Septemba 16, 2012 kijana mwenye umri wa miaka 16, Grant Virgin wa nchini Marekani aligongwa na gari na...
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Nyumba ya rubani wa ndege yachunguzwa
Polisi wa Ujerumani wamegundua kile wanachosema kitawasaidia kubaini kiini cha rubani msaidizi Andreas Lubitz, kuangusha ndege
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
‘Ndege haziendeshwi na rubani mmoja’
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuwa sio ndege zote zinazoruka ndani ya nchi huendeshwa na rubani mmoja. Imesema ndege kubwa za abiria zinazotoa huduma ya usafiri kwa ratiba ndani ya nchi, lazima...
10 years ago
BBCSwahili08 May
Utumizi wa ndege zisizo na rubani US
Shirika linalosimamia anga za juu Marekani limesema kuwa litashirikiana na kampuni nyengine tatu ili kulisaidia katika kupanua utumizi wa ndege hizo.
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Kuendesha ndege ni zaidi ya kuwa na rubani
Ukiwa ndani ya ndege tayari kwa kupaa au kutua uwanjani unaweza usifahamu kinachoendelea baina ya rubani na mwongozaji wa ndege kwa upande mwingine.
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Ndege bila rubani zatumiwa Nepal
Ndege ndogo zisizokuwa na rubani zinaofahamika kama (Drones) zinatumiwa kutoa misaada na kwenye uokoaji nchini Nepal.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania