Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yaliomo kwenye makubaliano ya S.kusini

Rais Kiir anatarajiwa kutia saini makubaliano ya amani mjini Juba, ambayo tayari Riek Machar aliyakubali wiki iliyopita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

US:Sudan Kusini sharti ihakiki Makubaliano

Marekani yaonya kuwa itachukua hatua kali dhidi ya pande zote

 

10 years ago

Habarileo

Misri yapongeza makubaliano Sudan Kusini

WIZARA ya Mambo ya Nje nchini Misri imepongeza makubaliano yaliyosainiwa na viongozi wa chama tawala cha SPLM, cha Sudan Kusini yenye lengo la kuwaunganisha upya viongozi wa chama hicho na kujenga mkakati imara wa kuboresha chama ili kupunguza mgogoro uliodumu nchini humo tangu Desemba 2013.

 

10 years ago

Mwananchi

Sudan Kusini wasaini makubaliano 43 ya kutatua mgogoro wao

Viongozi wa Chama tawala cha nchini Sudan Kusini, Sudan People Liberation Movement (SPLM) wametakiwa kuheshimu makubaliano 43 waliyosaini juzi usiku ili kusitishwa vita na kurejesha amani na kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mahasimu wa Sudan Kusini wamesaini makubaliano ya kugawana madaraka, hii ina maana gani?

Utekelezwaji wa mkataba wa amani kwa Sudan Kusini ni jambo ambalo limeyumbisha nchi hiyo kwa miaka.

 

10 years ago

Vijimambo

UKAWA WASAINI MAKUBALIANO MAPYA, NI KUACHIANA KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Viongozi wa vuguvugu la Katibaya Wananchi, (UKAWA), wakionyesha hati ya makubaliano baada ya kutia saini leo Jumanne Novemba 4, 2014 kwenye ofisi za makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam. Chini ya makubaliano hayo, yaliyohusisha vyama vinne, CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, yataanza kutekelezwa kwenye uchaguzi wa serikjali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ambapo, UKAWA utamsimamisha mgombea anayekubalika kwenye eneo husika bila ya kujali chama. Hata hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

FURAHA YA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO YA KUUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDANI KUSINI,JIJINI ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Naibu Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa (kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakifurahia wakati Rais Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (wa pili kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt. Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Vijimambo

UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUKIUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDAN KUSINI JIJINI ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Salva Kiir Mayardiy waSudan ya Kusini (kushoto), Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt RiekMachar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakitia sainimkatana wa makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM chaSudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari21, 2015 usiku. Nyuma yao ni mjane wa marehemu John Garang aliyekuwaMwenyekiti wa SPLM Mama Rebecca Nyandeng de Mabior na Afisa wa Wizaraya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

 

9 years ago

Bongo5

Jaji atengua makubaliano yaliyoamriwa kwenye talaka ya staa wa Empire, Terrence Howard

Makubaliano ya kifedha na mali yaliyokuwa yameamriwa kwenye talaka ya muigizaji wa tamthilia ya Empire, Terrence Howard na mke wake wa pili yametenguliwa. Jaji huyo alibaini kuwa muigizaji huyo alilazimika kutoa talaka hiyo kwa vitisho vya kuvujishwa kwa mambo yake ya siri. Uamuzi huo unamaanisha kuwa Howard na mke wake wa zamani, Michelle Ghent watatakiwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani