Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YALIYOMO KWENYE GAZETI LA RISASI JUMATANO

Kisa kumchafulia jina mjini... Gwajima, Flora kumlipa mamilioni Mbasha! -Mwanasheria afunguka, aeleza mlolongo mzima -Ishu imewakalia vibaya JB alishwa sumu! -Unataka kufahamu tukio hilo lilivyomkuta JB? -Nini kimeendelea? Licha ya Kudai Hajazaa... Sajent Aumbuka -Anaswa live na mtoto -Abanwa, abaki kaduwaa -Mzazi mwenziye aingia mitini. Kupata undani wa haya na mengine mengi, usikose kusoma Gazeti la Risasi Jumatano. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA AMANI, ALHAMISI HII

LULU KUMRITHI ZARI KWA DIAMOND -Ni baada ya familia ya Diamond kukubali
-Lulu amsingizia Wema
-Diamond naye afunguka
-Unajua kisa ni nini? TB JOSHUA ASHINDWA KULALA NIGERIA MAGUFULI AKIAPISHWA
-Atua Bongo na wasaidizi 40
-Atoa neno zito kwa Watanzania AUNT AAPA; WEMA ATANIONA KWENYE KIFO
-Unajua chanzo cha kunena hayo?
-Mazito yaibuka, ni yapi hayo? PENZI LA RAY, CHUCHU CHALIIIIII!
-Johari meno 32 njeee
-Chuchu anena...

 

9 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA UWAZI, JUMANNE HII

Unyama wakutisha wafanyika Dar!! -Mke wa Mtu atembezwa mtupu mitaani, apigwa mawe, achomwa moto -Ni Baada ya mumewe kuuawa kikatili Polisi auawa akimwokoa bintiye -Ni kisa cha kusikitisha -Unataka kufahamu ilikuwaje? Kifo cha Mtikila chatikisa upya -Mapya yaibuka tena -Polisi yapewa mwezi mmoja kutoa majibu Njemba alipukiwa antena -Akatwa mkono -Unataka kujua kisa kamili? Kupata undani wa haya na mengine mengi, usikose kusoma...

 

9 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: JOKATE ANASA UJAUZITO!

Wakati Wema akihaha kusaka mtoto, Jokate anasa ujauzito! -Ashindwa kuhudhuria pati ya Wema -Unataka kumjua mwenye ‘mzigo’ huo? -Jokate anena na mazito na Ijumaa. Zari ammaindi mrembo aliyejichora tatuu ya Diamond -Je, unataka kumjua mrembo huyo ni nani? -Unataka kufahamu undani wake? Mme wa mtu afanya mambo ya aibu -Je, unataka kujua alichokifanya mbaba huyu, wapi na ilikuwaje? Dada wa Diamond afanyiwa kitu mbaya usiku -Ni...

 

9 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA UWAZI MIZENGWE: MWAKYEMBE WAZIRI MKUU

Mwakyembe Waziri Mkuu -Awabwaga akina Lukuvi, Prof. Muhongo, Makamba, Mwigulu na Ndugai -Utendaji kuwa wa mchaka mchaka -Wasomi mwazungumzia hali ya nchi itakavyokuwa Vita ya Usika... -Ukawa wajipenyeza CCM -Vuta ni kuvute bwaga nikubwage Muhimbili bado inahitaji Mashine zaidi Makala kemkem za kuelimisha na kusisimua Kwa haya na mengine mengi, soma Gazeti la Uwazi Mizengwe, Ijumaa hii. ...

 

9 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: MAGUFULI AZUA KIZAAZAA MORO

Ziara zake za kushtukiza... Magufuli azua kizaazaa Moro -Kimenuka, Maafisa wa Mahakama wahenyeshwa -Kweli hapa kazi tu! -Unataka kufahamu tukio zima lilikuwaje? Ray C arekodiwa Video ya X -Mwenyewe akiri -Afunguka ya moyoni kuhusu tukio hilo -Unataka kujua ilikuwaje, video hiyo nani kamrekodi na imesambaaje? Mke amfanyia mwanaye umafia -Amfungia ndani kwa saa tano usiku -Atokomea -Majirani wamuokoa mtoto -Unataka kufahamu ni...

 

9 years ago

GPL

YOTE HAYA UTAYAPATA KWENYE GAZET LA RISASI, JUMATANO HII

Jide jeuri kwisha! >Unataka kujua nini kimemtokea Jide? Diamond aibu tupu! > Picha za CCTV nyumbani kwake zamuumbua > Fundi ajionea sinema ya bure > Amwaga ubuyu Wema, Mwana FA kuukwaa ubunge? Sajent, Nisha Wagombea Bwana! >Unataka kumjua bwana mwenyewe? wapi tukio hilo lilitokea? ilikuwaje? Wachungaji, Mashehe Wakutana Kanisani! >Ni Kwa Ajili Ya Kuwarudisha Wabwia Unga Kwa Mungu Yote haya na mengine usikose kusoma Gazeti...

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani