Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA WAIBUKA KIDEDEA

Kikosi cha timu ya Yanga SC. Kikosi cha timu ya Al Ahly. Mashabiki wa timu ya yanga wakiendelea…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GLOBAL FC WAIBUKA KIDEDEA

Kikosi cha Global FC kikiwa katika picha ya pamoja. Kikosi cha Salasala Veteran katika picha ya pamoja.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA waibuka kidedea Masasi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Masasi Mtwara, imewaachia huru watuhumiwa 20 kati ya 21 waliyokuwa wakikabiliwa na kesi ya kula njama ya kutenda kosa, kuandamana bila kibali, kuharibu na kuchoma majengo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Medeye, Huvisa waibuka kidedea

WABUNGE Goodluck ole Medeye (Arumeru Magharibi) na Terezya Huvisa (Viti Maalumu) wote CCM, wameibuka kidedea baada ya kuchaguliwa kuliwakilisha Bunge la Jamhuri katika Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu...

 

10 years ago

BBCSwahili

McIlroy, Lee Westwood waibuka kidedea.

Mchezaji namba moja wa gofu Rory McIlroy na Billy Horschel wameibuka kidedea katika michuano ya Wgc.

 

11 years ago

GPL

MATOKEO YA MWISHO KALENGA, CCM WAIBUKA KIDEDEA

Mbunge wa Jimbo la Kalenga (CCM), Godfrey Mgimwa. Mgimwa Godfrey (CCM): 22,962 = 79.32%, Tendega Grace (CHADEMA): 5,853 = 20.22%, Minja Richard (CHAUSTA): 150 = 0.52% Kura halali 28,965, Kura zilizoharibika 576, Kura zilizopigwa 29,541 na Idadi ya wapiga kura walioandikishwa 71,…

 

9 years ago

GPL

SIXTUS MAPUNDA, ESTER MATIKU WAIBUKA KIDEDEA UBUNGE

Sixtus Mapunda. Mbiga Mjini: Mgombea Sixtus Mapunda (CCM), ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa ubunge katika Jimbo la Mbinga Mjini akipata kura 28,324. Ester Matiku. Tarime Mjini: Ester Matiku wa Chadema ameshinda ubunge Jimbo la Tarime Mjini akipata kura 20,017, Michael Kembati CCM akipata kura 14,025 na Deogratius wa ACT kura 336. Lindi Mjini: Hassan Suleiman Kaunje (CCM) ametangazwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Manispaa ya Lindi,...

 

11 years ago

GPL

WAANDISHI WAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA WASANII WA BONGO FLEVA

H.Baba akijiandaa kuingia uwanjani.
Jay Mo akikaa vizuri ili kupata pasi.
Omary Kipa wa Global Publishers akiwa uwanjani.…

 

9 years ago

Michuzi

MWANZA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHINDANO LA UANDISHI WA BARUA SIKU YA POSTA DUNIANI.

Mwanafunzi Revotha Selestine (Mwenye kinasa Sauti) akitoa shukrani kwa niaba ya wanafunzi wenzake katika Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani yaliyoadhimishwa jana Octoba 09,2015 kwa ngazi ya Mkoa wa Mwanza katika Jiji la Mwanza zilipo ofisi za Shirika la Posta Mkoani Mwanza.
Na:George Binagi-GB PazzoKatika Shindano la Uandishi wa Barua lililoshirikisha wanafunzi zaidi ya 2,000 nchi nzima, aliibuka mshindi wa nne Kitaifa huku mshindi wa pili pia kitaifa akitokea Mkoani Mwanza.
Katika shindano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Mataifa waibuka kidedea katika uhabarishaji na utoaji elimu kwenye tuzo za maonyesho ya 39 ya Sabasaba

DSC_0178

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkadhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) cheti na tuzo katika kipengele cha  Uelimishaji bora kupitia Uandishi wa machapisho na mpangilio bora wa maonyesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yalipozinduliwa rasmi. Wanaoshuhudia tukio hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani