Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YANYUKWA 3-0 NA KMC UWANJA WA UHURU JIJINI DAR

Na Zainab Nyamka

WAMEKAA!!! Mchezo wa Kirafiki kati ya Yanga na KMC imemalizika kwa Yanga kukubali kipigo cha goli 3-0.

Mchezo huo umechezwa leo katika Uwanja wa Uhuru ikiwa ni mchezo wao wa pili wa kirafiki baada ya kupata ushindi wa 3-1 dhidi ya Transit Camp.

Mpira ulianza kwa kasi KMC wakitawala mchezo kwa dakika za mwanzo kabla ya Yanga kubadilisha mchezo na kuonekana kuutawala.

KMC walichukua dakika 31 kuweza kuandika goli la kwanza kupitia kwa Sadala Lipangile akipokea pasi ya Charlse...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MUUNGANO UWANJA WA UHURU JIJINI DAR

Baadhi ya vikosi vya watumbuizaji katika sherehe hiyo vikionekana kupanda gari kwa ajili ya kuondoka uwanjani hapo Wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam wakitawanyika kutoka Uwanja wa Uhuru.…

 

11 years ago

Michuzi

Sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam



Kwa video hii na nyingine kibao za sherehe za Mei Mosi 
BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA SHEREHE YA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Maandamano ya wafanyakazi yakiingia Uwanja wa Uhuru na kupokelewa na Rais Kikwete  Wafanyakazi wa Daily News na Habari Leo  Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa Uhuru.…

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), wakifuatilia maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.  Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 5, mfanyakazi bora wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Herman Kachima, wakati wan kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa...

 

11 years ago

Michuzi

Maandamano katika sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini dar es salaam

 Wakala wa Ndege za Serikali wakiwa katika maandamano hayo yaliyofana sana  Wizara ya Mambo ya Ndani nao ndani  Benki Kuu  Wakala wa Ndege za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu. Kwa picha za kumwaga BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba. Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani