Yanga yatuma salamu Tunisia
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, Yanga SC, jana waliendeleza wimbi la ushindi kwenye mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), baada ya kuifunga Coastal Union mabao 8-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Matokeo hayo yameifanya Yanga kufikisha jumla ya pointi 43 na kuendelea kuongoza katika msimamo wa Ligi, wakiwaacha wapinzani wao, Azam, wenye pointi 36.
Mabao ya Yanga jana yalifungwa na Amis Tambwe (dk 9,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog28 May
Stars yatuma salamu Zimbabwe
Na Sosthenes Nyoni,
Dar es Salaam. Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetuma salamu Zimbabwe baada ya kuichapa Malawi kwa bao 1-0 jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kiungo wa Simba, Amri Kiemba aliifungia Stars bao pekee dakika 36 akimalizia kazi nzuri ya Shomari Kapombe, Kelvin Friday na Simon Msuva. Huo ni ushindi wa pili kwa kocha Mart Nooij tangu alipopewa jukumu la kuinoa Stars mwanzoni mwa mwezi huu.
Taifa Stars inajiandaa na mechi yake ya marudiano dhidi ya Zimbabwe...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Rais Kikwete atoka wodini, familia ya Nyerere yatuma salamu
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PWN8YT974CA/VSBaoZS8g1I/AAAAAAAHPWM/aTHnZyRKOXE/s72-c/11133973_799243006819595_5116734814997625332_n.jpg)
TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI SIMBA SC KUFUATIA AJALI WALIYOPATA WASHABIKI WAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-PWN8YT974CA/VSBaoZS8g1I/AAAAAAAHPWM/aTHnZyRKOXE/s1600/11133973_799243006819595_5116734814997625332_n.jpg)
Katika salamu zake Rais Malinzi amesema, TFF imezipokea kwa masikitiko taarifa hizo za ajali na kwa niaba ya familia ya mpira wa miguu nchini, wanawapa pole wafiwa wote na mwenyezi Mungu awape nguvu majeruhi waweze kupata nafuu na...
9 years ago
Dewji Blog27 Sep
TFF: Yatuma salamu za rambirambi Coastal Union baada ya kuondokewa na mchezaji wao U20
Rais wa Shirikisho la Soka nchini, Jamal Malinzi..
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambirambi kwa mwenyekiti wa klabu ya Coastal Union, Dr Twaha Ahmed kufuatia kifo cha mchezaji Mshauri Salim aliyefariki jana jioni jijini Tanga.
Katika salam hizo za Rais wa TFF, Jamal Malinzi kwenda kwa uongozi wa klabu ya Coastal Union, amewapa pole wafiwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na uongozi wa klabu hiyo na kusema TFF wako nao pamoja katika kipindi hichi cha...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-idD5LOTE128/VTCuQ0-mESI/AAAAAAAHRng/TOd5rUoIyFQ/s72-c/ChigweleCheMundugwao.jpg)
BASATA YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MSANII CHIJWELE CHE MUNDUGWAO
![](http://4.bp.blogspot.com/-idD5LOTE128/VTCuQ0-mESI/AAAAAAAHRng/TOd5rUoIyFQ/s1600/ChigweleCheMundugwao.jpg)
Che mundugwao ni msanii wa muziki wa asili na mdau wa muda mrefu wa sekta ya Sanaa nchini. Amekuwa na mchango mkubwa katika kukuza muziki wa asili nchini na baadaye kupitia Chama cha Muziki wa asili (TAFOMA)...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-W2Yg2dIHI1s/Xqpwjp5HdzI/AAAAAAALomg/aMLeCraHoDs8LrJC_9twrEZ3eYrQhBncgCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-i1LC03eUFiY/XqvaFpPXxsI/AAAAAAALovo/Topw_h8PA_IjZ5WscynYMFRmGPrIqv3lwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MAHIGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-i1LC03eUFiY/XqvaFpPXxsI/AAAAAAALovo/Topw_h8PA_IjZ5WscynYMFRmGPrIqv3lwCLcBGAsYHQ/s1600/index.jpg)
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa mshituko mkubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb) kilichotokea leo alfajiri Mei 01, 2020 Jijini Dodoma.
Tume inatoa pole kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuondokewa na kiongozi mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na mwanadiplomasia mahiri aliyeiwakilisha na kuipigania Tanzania katika nyanja za Kimataifa...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Yanga yaitumia salamu Platinum FC
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Yanga yaifuata Etoile du Sahel Tunisia