YUSUF FAKI AWASILISHA MICHANGO YA TAMCO YA ZAKATULFITRI KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA ALMADINA DAR
Mwakilishi wa Tanzania Muslim Council ( TAMCO) Bwn. Yusf Faki akiwa katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Amadina Bi.Kuthum Yusuf siku ya Ijumaa July 17, 2015 siku Yusuf Faki alipowasilisha mchango wa Zakatulfitri kwa watoto hao kwa niaba ya TAMCO yenye makao makuu yao DMV. Kituo hicho cha kulelea watoto yatima kilichopo Tandale jijini Dar es Salaam kina watoto 68 wanaolelewa na Bi. Kulthum Yusuf na yeyote atakayeguswa na watoto hao anaweza kuwasilisha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.
5 years ago
MichuziTAASISI YA TUMAINI LA MTOTO YATOA ELIMU, MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHUKUWAMA
Akitoa elimu kwa watoto wa kituo hicho Mkurugenzi Taasisi ya Tumaini la Mtoto, Maziku Kuwandu amesema kuwa Watoto waliopo kwenye vituo vyao vya kulelewa wamekuwa hawapati elimu ya kujikinga na Virusi vya Corona (Covid 19) ndio maana wachukua fursa hiyo kuwapa elimu watoto hao.
"Taasisi ya Tumaini la Mtoto kupitia...
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Kampuni ya Tigo yatoa misaada kituo cha kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage juzi. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho
10 years ago
VijimamboMAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA
Jaji kiongozi wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki, maarufu BSS, Rita Poulsen...
5 years ago
MichuziSimba Jamii Tanzania latoa msaada tanki la maji na kifaa cha kuzalisha umeme kituo cha kulelea watoto Yatima mkoani Morogoro
Akikabidhi misaada hiyo mwakilishi wa Simba Jamii mkoani Morogoro Bwana Rashid "Wizzy" Mbegu alimfahamisha mlezi na msimamizi wa kituo hicho Bi Raya kuwa Simba Jamii itawakabidhi watoto wote wa kituo hicho pea 50 za viatu ilivyovipokea...
9 years ago
Bongo Movies18 Nov
Picha: Wema Atembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Arusha
Mapema jana staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliwatembelea watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Good Hope Orphanage kilichopo maeneo ya Usa-River jijini Arusha ambapo staa huyo alitoa msaada wa chakula na vitu mbalimbali kwa watoto hao.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima alizoziweka kwenye ukurasa wake intsgaram.
Mungu akuzidishie moyo wa huruma Wema Sepetu
10 years ago
MichuziUJAMAA INTELLECTUALS NETWORK WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE JIJINI DAR ES SALAAM
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
GPLGLOBAL YATOA MSAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAKWAMA
5 years ago
MichuziQNET YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VITU VINGINE KWENYE KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAZIZINI
· NI SEHEMU YA MPANGO WA KUSAIDIA JAMII KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
Tarehe 24, Mei 2020, Zanzibar QNET, kampuni ya mauzo ya moja kwa moja inayoongoza yenye asili ya Asia imetoa msaada wa magunia ya vyakula, galoni za mafuta ya kupikia, vifaa vya usafi, vinywaji baridi na vitakasa mikono (sanitizers) kwenye nyumba ya kulelea yatima ya Mazizini Zanzibar. Hizi ni jitihada za mwezi mtukufu wa ramadhani zenye lengo la kuboresha maisha ya walio wengi na inaendana na falsafa ya kampuni ya...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10