Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar bado kuelekea uchaguzi huru

MARA nyingi nimeeleza kupitia gazeti hili na vyombo vingine vya habari kuwa licha ya kutolewa ahadi nyingi za kuwa na uchaguzi huru na wa haki, bado Zanzibar inayo safari ndefu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

EU yatarajia uchaguzi huru Zanzibar

JUMUIYA ya Ulaya (EU) imesema ina matarajio makubwa kuona uchaguzi mkuu wa Zanzibar unafanyika katika misingi ya haki na demokrasia.

 

10 years ago

Vijimambo

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR, MAFUNZO YATOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU PEMBA

Ofisa kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar ‘ZEC’ ofisi ya Pemba Suleiman Daud Mkasha ‘kushoto’ akiwasilisha mada katika mafunzo juu ya haki za watu wenye ulemavu kisiwani Pemba kuelekea uchaguzi mkuu, yaliyofanyika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa na kuandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC Pemba, na kulia ni mtoa mada Mohamed Hassan Ali kutoka ZLSC.Mtoa Mada kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Mohamed Hassan Ali, akiwasilisha mada katika mafunzo juu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

10 years ago

Michuzi

PRESS CLUB ZNZ YAFANYA UCHAGUZI NA KUSISITIZWA MAADILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Katibu Mkuu msaafu wa Jumuiya ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) Suzan Peter Kundambi katikati akitoa taarifa ya mwaka kwa Wanachama wa Jumuiya hiyo katika mkutano wa Mwaka wa ZPC ulioambatana na uchaguzi. Mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ekrotanal Mjini Unguja. Wajumbe walioshiriki uchaguzi wa Jumuiya ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) wakipiga kura kuchagua uongozi mpya katika mkutano wa Mwaka wa Jumuiya hiyo ambao uliambatana na uchaguzi huo ambao uliofanyika ukumbi wa Ekrotanal...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]

The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Raia Mwema

Safari bado ndefu kuelekea Ikulu

KWANZA ninaomba radhi kwa safu hii kuadimika kwa takriban wiki mbili mfululizo.

Evarist Chahali

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZA MAJIMBO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha akito taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar. Kuona majimbo yote ya uchaguzi zanzibar, BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR YAFUTA UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufutwa kwa uchaguzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mpaka hapo itakapotangazwa tena.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani