ZAWADI YA ASILI YA WANYATURU KWA MKUU WA MKOA DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-as2yBx2XVEE/Uve9OMQZCtI/AAAAAAAFL9A/QdXWFoaQq5E/s72-c/unnamed+(15).jpg)
Mkuu wa wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akiwa amebeba kichwani zawadi ya kibuyu chenye chakula cha asili ya wanyaturu, Mkuu huyo wa Mkoa alikabidhiwa zawadi hiyo na umoja wa Wanyaturu waishio mkoani Dodoma wakati wa sherehe yao ya kuukaribbisha mwaka 2014. Wengine wanaoshuhudia ni wanachama wa umoja huo wa Wanyaturu waishio mkoani dodoma.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LATOLEA UFAFANUZI KUHUSU KUKAMATWA KWA MTU MWENYE ASILI YA KIASIA AKIWA NA TSHS. 722,500,00 KATIKA HOTELI YA ST. GASPER
YAH: TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWAVYOMBO VYA HABARI TAREHE 14/07/2015
Napenda kutoa taarifa fupi kuhusu tukio lililotokea tarehe 11/07/2015 majira ya saa 10:00 hrs huko katika Hoteli ya St. Gasper hapa mjini Dodoma, kuwa wananchi walitoa taarifa majira ya saa nne asubuhi kwamba kuna mtu mmoja mwenye asili ya Kiasia amekamatwa na wananchi...
9 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mKGY_qnHkyY/VioKzY3E0_I/AAAAAAAIB6g/PNpZOBLbHI0/s72-c/New%2BPicture.png)
TAARIFA YA MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 25, 2015 MKOANI DODOMA
Mkoa wa DodomaAnwani ya Simu REGCOMSimu Nambari: 2324343/2324384E-Mail No. ras@dodoma.go.tzFax No. +255 026 2320046
![](http://4.bp.blogspot.com/-mKGY_qnHkyY/VioKzY3E0_I/AAAAAAAIB6g/PNpZOBLbHI0/s1600/New%2BPicture.png)
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, S.L.P. 914, DODOMA.
Ndugu wananchi wa Mkoa wa Dodoma, tarehe 25 Oktoba, 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu hapa nchini; ambapo, Watanzania wale wenye sifa za kupiga kura na waliojiandikisha, watapata...
9 years ago
StarTV18 Dec
Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku Posho Za Vikao Kwa Watendaji
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Galawa amepiga marufuku ulipaji wa posho za vikao vya kazi kwa wakuu wa idara na watendaji kutokana na utendaji usioridhisha.Aidha amewataka viongozi hao kukaa mara mbili kwa wiki ofisini, siku zilizobaki zikitumika kugagua kazi zilizofanywa na walio chini yao pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Agizo hilo linatolewa katika kikao cha ufunguzi wa baraza la madiwani wa halmashauri ya kongwa Galawa anafikia uamuzi huo kutokana na wilaaya hiyo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9JlL1qf062o/Xmt7LfuwnhI/AAAAAAALi5o/zwaSesFl_CscV67oqXAb0QQgFJV6rIspACLcBGAsYHQ/s72-c/Pic-1AA-768x630.jpg)
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA DODOMA, MKURUGENZI HALMASHAURI YA TEMEKE JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-9JlL1qf062o/Xmt7LfuwnhI/AAAAAAALi5o/zwaSesFl_CscV67oqXAb0QQgFJV6rIspACLcBGAsYHQ/s640/Pic-1AA-768x630.jpg)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge ofisini kwake Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/Pic-2AA-1-1024x713.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/Pic-3AAA-1-1024x643.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EO3IjRcm2R0/UySbduC5YoI/AAAAAAAFTwI/mtygWZRdf4I/s72-c/unnamed.jpg)
MKUU WA MKOA WA DODOMA AONGOZA MATEMBEZI KWAAJILI YAKUAMASISHA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI DODOMA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-EO3IjRcm2R0/UySbduC5YoI/AAAAAAAFTwI/mtygWZRdf4I/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma azindua mkutano Mkuu wa 32 wa mwaka wa TPHA
Picha ya pamoja ya baadhi ya washiriki wa mkutano Mkuu wa 32, wa mwaka wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) muda mfupi baaada ya kuzinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Chiku Gallawa (katikati) waliokaa mbele. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale,Modewjiblog
[DODOMA] Mkutano wa 32 wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (Tanzania Public Health Association-TPHA) umezinduliwa rasmi leo Novemba 30.2015 mjini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Chiku Gallawa...
9 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25