Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara hizi za kushtukiza, khaa!

Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia runinga mara chache nikibahatika kupita mahala kuna runinga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jambo zuri tena linafaa kuigwa na sisi wananchi wapenda maendeleo.

Nikaona nijipange na mimi nifanye ziara kadhaa za kushtukiza katika sehemu mbalimbali zinazonihusu.Nikaona nianze na ziara ya kushtukiza pale shuleni kwa huyu mwanangu, maana kila siku...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ziara ya kushtukiza yakonga nyoyo

WAKAZI wa jiji la Mwanza wamempongeza Rais Dk John Magufuli kwa namna alivyoanza kazi kwa kufanya ziara ya kushtukiza juzi Wizara ya Fedha na kusifu aina hiyo ya utendaji kazi .

 

9 years ago

BBCSwahili

Modi afanya ziara ya kushtukiza Pakistan

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ametua nchini Pakistan kwenye ziara ya kushtukiza ambayo ni ya kwanza kwa waziri mkuu wa India nchini humo katika zaidi ya mwongo mmoja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Hazina Kuu

Rais mpya wa Tanzania John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika Hazina Kuu siku moja tu baada yake kuapishwa.

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli afanya Ziara ya Kushtukiza Hazina

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika makao makuu ya Wizara ya Fedha(HAZINA) kwa ziara ya kushtukiza leo mchana.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Servacius Likwelile.Rais Magufuli alitembelea na kukagua ofisi zote wizarani hapo na kisha kuongea na viongozi waandamizi. Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na wafanyakazi wawili wa Wizara ya Fedha ambao ni walemavu Bwana Fundi Maruma na Frank Mkyama wakati Rais alipofanya ziara ya...

 

9 years ago

Michuzi

KASI YA RC KILIMANJARO NI BALAA, AFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA

Na Mwandishi Wetu, Moshi.MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na utendaji kazi katika mkoa huo. Katika ziara hiyo, RC Makalla alitumia muda huo kuwaagiza watendaji wake, hususan katika mchakato mzima wa kuifanya Moshi iwe kwenye usafi.Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, RC Amos Makalla mwenye miwani, akikagua soko lililopo kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani humo,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha afanya ziara ya kushtukiza Bandari Kavu

1768

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiangalia kontena lenye shehena ya vitenge badala ya unga wa gypsum kama nyaraka zilivyoonyesha.

Baadhi ya wafanyabiashara wabainika kukwepa kulipa kodi kwa kuingiza bidhaa kutoka nje kupitia bandari ya Dar es Salaam, ambapo huandikisha taarifa na maelezo tofauti na bidhaa halisi zilizomo ndani ya makontena ili kuwawezesha kukwepa kodi kwa kulipia kiasi kidogo.

Kutokana na udanganyifu huo, Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya alifanya ziara ya kushtukiza...

 

9 years ago

Global Publishers

Kigwangalla Afanya Ziara ya Kushtukiza Hospitali za Rufaa Lindi na Mtwara‏

IMG_9315

Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi.

IMG_9342

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga akimkaribisha Dkt. Hamisi Kigwangalla alipotembelea wodi za hospitali hiyo wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya leo mkoa wa Lindi.Katikati...

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri Nchemba Afanya Ziara Ya Kushtukiza Usiku Machinjioni Dar

Mwigulu (1)Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na viongozi wa machinjio ya Vingunguti – Dar mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo.Mwigulu (2)…akipewa maelekezo
Mwigulu (3)…akikagua machinjio hayoMwigulu (4) Mwigulu (5) WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba usiku wa kuamkia leo amefanya ziara ya ghafla na ya kushtukiza katika machinjio ya nyama Vingunguti jijini Dar es Salaam. Katika ukurasa wake rasmi wa twitter, Mwigulu amesema kuwa lengo la ziara yake hiyo lilikuwa ni...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kasi ya RC Makalla yautikisa Mkoa wa Kilimanjaro, afanya ziara za kushtukiza

Na Mwandishi Wetu, Moshi

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na utendaji kazi katika mkoa huo. Katika ziara hiyo, RC Makalla alitumia muda huo kuwaagiza watendaji wake, hususan katika mchakato mzima wa kuifanya Moshi iwe kwenye usafi.

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla mwenye miwani, akikagua soko lililopo kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani humo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani