ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI RUNGWE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba za watumishi wa Halmashauri ya Busokeleo wilayani Tukutu unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika kijiji cha Rungwa akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 27, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Tunu. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua nyumba zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI CHAMWINO DODOMA
11 years ago
Dewji Blog08 Jun
Ziara ya Waziri Mkuu Pinda wilayani CHAMWINO — Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Gilita Mlong’ose wakati alipotembelea Hospitali ya Mvumi wilayani Chamwino akiwa katika ziara ya wilaya hiyo mkoani Dodoma Juni 7, 2014. Bibi huyo alikuwa ni miongoni mwa wagonjwa waliofika hospitalini hapo kutibiwa macho. Kushoto ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mkuki kutoka kutoka kwa mwenyekiti waCCM wa Tawi la Ilolo wilayani Chamwino akiwa katika...
10 years ago
GPLWAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYANI MPANDA
5 years ago
CCM BlogZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WILAYANI PANGANI MKOANI TANGA, LEO
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA MBEYE,LEO YUPO WILAYANI KYELA
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU
10 years ago
MichuziWZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYANI MPANDA
5 years ago
Michuzi
ZIARA YA WAZIRI ZUNGU WILAYANI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiangalia mojawapo ya mabwawa ya majitaka yanayodaiwa na wananchi wa eneo la Buguruni Kisiwani kutokana na harufu mbaya na mazalia ya mbu na kusababisha magonjwa.


11 years ago
MichuziWAZIRI WA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI AFANYA ZIARA WILAYANI MVOMERO