Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zisikupite hizi stori kubwa 8 kutokea kwenye Amplifaya Dec 16, 2015

December 16, 2015 mkusanyiko wa stori kubwa kutokea kona mbalimbali za dunia zilikusanywa pamoja na kusikika kupitia Kipindi cha redio Amplifaya ya Clouds Fm, sasa basi kama zilikupita hii ni nafasi yako nyingine ya kipekee kuzipata hizi kubwa 8 hapa. ‪‬ #AmplifayaUPDATES:Rais Magufuli asema serikali itapata zaidi ya TRILIONI 1.3 kwenye mapato ya December hii hivyo […]

The post Zisikupite hizi stori kubwa 8 kutokea kwenye Amplifaya Dec 16, 2015 appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Zisikupite hizi stori kubwa 3 kutokea kwenye Amplifaya Dec 14, 2015

Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia Clouds FM kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu, ni show ambayo ina namba 10 muhimu zinazomilikiwa na habari, yaani habari kumi kubwa za siku kutoka kwenye michezo, muziki, movies, fashion, siasa na stori nyingine ambapo host wake ni mtu wako wa nguvu Millard Ayo. Sasa […]

The post Zisikupite hizi stori kubwa 3 kutokea kwenye Amplifaya Dec 14, 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Dec 21, 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 21, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Chama cha ACT-Wazalendo kimetoa mapendekezo matatu jinsi ya kumaliza mgogoro Z’bar […]

The post #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Dec...

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 Tanzania DECEMBER 18 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 18, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Vigogo wa TRA wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kutokana na upotevu wa makontena […]

The post Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8...

 

9 years ago

MillardAyo

#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Desemba 20, 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 20, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Magereza ya Keko, Ukonga na Segerea yalemewa wafungwa na mahabusu, Serikali […]

The post #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Desemba 20,...

 

9 years ago

MillardAyo

Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Desemba 16, 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 16, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Kutoka ndani ya kurasa za Magazeti TANZANIA, nagusa stori zote na […]

The post Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Desemba...

 

9 years ago

MillardAyo

Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Desemba 22, 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti  Desemba 22, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Serikali imesema itachukua hatua kali dhidi ya wamiliki wa vyuo ambao […]

The post Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hizi Ndio Bei za Kingwendu Kutokea Kwenye Video za Wasanii

Staa mkongwe kwenye uchekeshaji, Kingwendu amesema kuonekana kwenye video za muziki za wasanii ni moja ya biashara zake anazozipa uzito.

Kingwendu ameonekana kwenye video kadhaa ikiwemo ile ya wimbo wa Yamoto Band.

Akiongea na 255 ya XXL kupitia kituo cha redio cha Clouds FM, Kingwendu alisema kabla hajakubali kufanya video, huangalia kwanza wimbo huo una ujumbe gani.

“Inategemea kwanza na video gani, kama ni movie au muziki kama muziki, naangalia kwanza ameimba nini na huo wimbo una...

 

9 years ago

MillardAyo

Magazeti ya Tanzania December 23 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho

Leo December 23 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda […]

The post Magazeti ya Tanzania December 23 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho appeared first...

 

9 years ago

MillardAyo

Magazeti ya Tanzania December 26 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho

Leo December 26 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda […]

The post Magazeti ya Tanzania December 26 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho appeared first...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani