Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hizi Ndio Bei za Kingwendu Kutokea Kwenye Video za Wasanii

Staa mkongwe kwenye uchekeshaji, Kingwendu amesema kuonekana kwenye video za muziki za wasanii ni moja ya biashara zake anazozipa uzito.

Kingwendu ameonekana kwenye video kadhaa ikiwemo ile ya wimbo wa Yamoto Band.

Akiongea na 255 ya XXL kupitia kituo cha redio cha Clouds FM, Kingwendu alisema kabla hajakubali kufanya video, huangalia kwanza wimbo huo una ujumbe gani.

“Inategemea kwanza na video gani, kama ni movie au muziki kama muziki, naangalia kwanza ameimba nini na huo wimbo una...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nisher asema bei mpya anayotoza kushoot video ndio inayowakimbiza wasanii wengi

Nisher7

Mwishoni mwa mwaka 2013 muongozaji wa video nchini, Nisher alikuwa akitoza shilingi milioni 3 kushoot video moja ya muziki, na aliahidi kuongeza bei hadi kufikia dola 4000 pale vifaa vipya alivyoagiza vitakapowasili.

Nisher7

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Nisher amesema kwa sasa anatoza shilingi milioni 10 kwa video moja, ambayo inahusisha gharama zote za utegenezaji kama location, models, malipo ya director pamoja na usambazaji.

“Kwasasa video kwangu ni 10 million (production/director’s...

 

9 years ago

MillardAyo

Zisikupite hizi stori kubwa 3 kutokea kwenye Amplifaya Dec 14, 2015

Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia Clouds FM kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu, ni show ambayo ina namba 10 muhimu zinazomilikiwa na habari, yaani habari kumi kubwa za siku kutoka kwenye michezo, muziki, movies, fashion, siasa na stori nyingine ambapo host wake ni mtu wako wa nguvu Millard Ayo. Sasa […]

The post Zisikupite hizi stori kubwa 3 kutokea kwenye Amplifaya Dec 14, 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Zisikupite hizi stori kubwa 8 kutokea kwenye Amplifaya Dec 16, 2015

December 16, 2015 mkusanyiko wa stori kubwa kutokea kona mbalimbali za dunia zilikusanywa pamoja na kusikika kupitia Kipindi cha redio Amplifaya ya Clouds Fm, sasa basi kama zilikupita hii ni nafasi yako nyingine ya kipekee kuzipata hizi kubwa 8 hapa. ‪‬ #AmplifayaUPDATES:Rais Magufuli asema serikali itapata zaidi ya TRILIONI 1.3 kwenye mapato ya December hii hivyo […]

The post Zisikupite hizi stori kubwa 8 kutokea kwenye Amplifaya Dec 16, 2015 appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani …

Mtu wangu wa nguvu ikiwa leo Alhamisi ya December 24 ndio ile siku yetu ya kupost matukio mbalimbali ya zamani katika mitandao ya kijamii na kujikumbushia, naomba nikurudishe nyuma kidogo kwa matukio kadhaa ya soka. December 24 naomba nikukumbushie au nikusogezee video ya dakika 8 ya matukio ya staa wa soka kutokea Brazil Ronaldinho Gaucho, haya ndio […]

The post Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani … appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 Tanzania DECEMBER 18 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 18, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Vigogo wa TRA wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kutokana na upotevu wa makontena […]

The post Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8...

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

11 years ago

CloudsFM

Hii ndio list ya wasanii watakao panda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza 2014

Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.

Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Linah
Makomando
Madee
Young Dee
Super Nyota

Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko

 

10 years ago

Bongo5

Video: Hawa ndio New Boyz, waliompa shavu AY kwenye video yake na Sean Kingston

Vijana wa kundi la New Boyz wa Marekani, Earl “Ben J” Benjamin na Dominic “Legacy” Thomas wataonekana kwenye video ya wimbo mpya wa AY aliomshirikisha Sean Kingston. Video hiyo itatoka mwezi ujao. “Kuna jamaa wa New BoyZ jamaa fulani wanahit huku, kuna video wamefanya na jamaa fulani ina view milioni 32, so ni jamaa wakubwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Kwanini wasanii wetu siku hizi wanawatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania? — Jacqueline Wolper

wolper

Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kushare na followers wake wa Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha, kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania na kuwaacha wa hapa.

wolper

Hiki ndicho alichoandika Wolper;

“Jamani wapenzi wangu naombeni niwaulize ktu kimoja …kuna madada zetu wengi hapa Tanzania na wakaka wengi wazuri nawakivaa au kuvalishwa wanapendeza ila Tatizo uwezo tuu…lengo la haya maneno ni kuuliza na muwatag pia hawa wanaofanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani