Kwanini wasanii wetu siku hizi wanawatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania? — Jacqueline Wolper
Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kushare na followers wake wa Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha, kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania na kuwaacha wa hapa.
Hiki ndicho alichoandika Wolper;
“Jamani wapenzi wangu naombeni niwaulize ktu kimoja …kuna madada zetu wengi hapa Tanzania na wakaka wengi wazuri nawakivaa au kuvalishwa wanapendeza ila Tatizo uwezo tuu…lengo la haya maneno ni kuuliza na muwatag pia hawa wanaofanya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Nov
Ommy Dimpoz atoa sababu za wasanii wa Tanzania kutumia models wa nje kwenye video zao

Ommy Dimpoz ni kati ya wasanii wa Bongo ambao wameshoot video zao kadhaa nje ya Tanzania kwa kutumia waongozaji pamoja na video models wa nje.
Ommy Dimpoz na model wa ‘Ndagushima’ Sofia Skvortsova
Wengi wanaamini upo uwezekano wa wasanii kuamua kusafiri na models kutoka nyumbani kama ambavyo husafiri na dancers wao kwenda kushoot video nje, lakini Ommy Dimpoz ana sababu za kwanini hushindwa kufanya hivyo.
“Mara nyingi models wa nje wako proffesional wanaweza kucheza character zote ambazo...
10 years ago
Bongo510 Jan
Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015
9 years ago
Bongo523 Nov
Sauti Sol waeleza kwanini hawajawashirikisha wasanii wa nje ya Afrika kwenye album yao mpya

Sauti Sol wameachia album yao mpya ‘Live and Die in Afrika’ Ijumaa iliyopita (November 20). Katika kuhakikisha wanawaridhisha mashabiki wao, waliamua kutoa nafasi kwa mashabiki kupakua album hiyo bure kwenye website yao (www.sauti-sol.com), lakini ofa hiyo ilikuwa ni kwa saa 48 tu toka ilipotoka mpaka Jumapili Nov.22 saa 5:59 Usiku.
Baada ya hapo album hiyo itauzwa katika maeneo watakayotangaza.
Kwenye album hiyo ambayo ni ya tatu kutoka kwa kundi hilo, ni nyimbo mbili pekee kati ya 15 za...
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Siku ya Wanawake iwe mwanzo mpya kwa wasanii wetu wa kike
MACHI 8 ya kila mwaka ni Siku ya Wanawake Duniani, ambayo husherehekewa kote duniani, ambapo Watanzania wanaungana na wengine kuipokea siku hiyo chini ya kaulimbiu ambayo kwa mwaka huu ni...
10 years ago
Bongo504 Nov
Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video
11 years ago
GPL
JACQUELINE WOLPER ATEMBELEA GLOBAL
11 years ago
Michuzi09 May
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Jacqueline Wolper aponda mapenzi ya fedha
STAA wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, amesema hana mpango wa kuwa na mume tajiri, hivyo amewataka wasihangaike kumtafuta. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wolper alisema hapendi wanaume wenye...
10 years ago
Mtanzania13 May
Jacqueline Wolper: Anayetoka na Nay wa Mitego ameshajulikana
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za kibongo, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.
“Watu hawana dogo, ukiwa karibu na mtu basi utaambiwa mpenzi wako, Nay hakuwahi kuwa mpenzi wangu kwa kuwa ni zaidi ya rafiki kwangu, ila watu wasio waelewa ndiyo walikuwa wakivumisha kwamba tuna uhusiano kwa...