Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku ya Wanawake iwe mwanzo mpya kwa wasanii wetu wa kike

MACHI 8 ya kila mwaka ni Siku ya Wanawake Duniani, ambayo husherehekewa kote duniani, ambapo Watanzania wanaungana na wengine kuipokea siku hiyo chini ya kaulimbiu ambayo kwa mwaka huu ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

‘Home Coming’ iwe fundisho kwa wasanii Bongo

Baadhi ya wasanii waliojitokeza juzi kwenye uzinduzi wa filamu hiyo Mlimani City jijini Dar es salaam.NA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM

KATIKA tasnia ya filamu hapa nchini tunaanza kupiga hatua kwa kiasi kikubwa sana kutokana na wasanii wengi kujituma kwa lengo la kutangaza kazi zao ndani na nje ya nchi, huku ikiwa njia mojawapo ya kujipatia kipato.

Siku zote tumekuwa tukiona filamu zetu za hapa ndani zikitazamwa kwa muda mfupi na zinaanza kusahaulika kutokana na uwezo mdogo wa wasanii kufanya filamu hiyo na kutokuwa na ubunifu wa kutosha.

Kwa sasa kumekua na tabia ya kuangalia filamu za nje...

 

9 years ago

Bongo5

Kwanini wasanii wetu siku hizi wanawatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania? — Jacqueline Wolper

wolper

Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kushare na followers wake wa Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha, kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania na kuwaacha wa hapa.

wolper

Hiki ndicho alichoandika Wolper;

“Jamani wapenzi wangu naombeni niwaulize ktu kimoja …kuna madada zetu wengi hapa Tanzania na wakaka wengi wazuri nawakivaa au kuvalishwa wanapendeza ila Tatizo uwezo tuu…lengo la haya maneno ni kuuliza na muwatag pia hawa wanaofanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siku ya Sheria iwe mkombozi kwa wanyonge

KESHO ni kilele cha Siku ya Sheria nchini, ni utaratibu wa kawaida wa kila mwaka uliojiwekea mhimili wa Mahakama. Kilele hicho ni ishara ya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama...

 

10 years ago

GPL

R.I.P WASANII WETU! KINACHOWAUA KWA KASI CHAJULIKANA

MWAKA 2014 unakatika, matukio ya kukumbukwa ni pamoja na wasanii Bongo kupoteza maisha katika mazingira yasiyotarajiwa, Ijumaa linakupa hatua kwa hatua.Kumbukumbu za haraka zinabainisha kuwa, tangu mwaka 2011 mpaka 2014, wasanii  wenye majina makubwa na madogo wasiopungua 32 wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali. Recho Haule enzi za uhai wake. Inauma sana! Katika kipindi cha miaka mitatu kuwapoteza wasanii kwa kiasi hicho...

 

9 years ago

Michuzi

WASANII WA KIKE WAASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII


Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leah Kihimbi akitoa hotuba katika Warsha ya siku mbili kuhusu wasanii wanawake kupinga ukatili wa kijinsia, mafunzo hayo yamefanyika ili kuhitimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na kusheherekea siku ya msanii Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonyesho Tanzania Agnes Lukanga akitoa mada katika warsha ya siku mbili kuhusu wasanii wanawake kupinga...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?

>Mambo ya kitoto, mtoto kumfanyia mtoto mwenzake, tunasema watoto wanacheza lakini mambo ya kitoto, mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake kuna walakini hapo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

LUPITA NYONG’O: Mfano kwa wasanii wa kike Afrika Mashariki

KESHO ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani, mwanadada msanii mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong’o, anaisherehekea kwa furaha ya aina yake, kutokana na mafanikio ya kutwaa tuzo kubwa yenye umaarufu...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ujumbe kutoka kwa Wasanii wetu — Nani umpigie kura?

The post Ujumbe kutoka kwa Wasanii wetu – Nani umpigie kura? appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani