Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Home Coming’ iwe fundisho kwa wasanii Bongo

Baadhi ya wasanii waliojitokeza juzi kwenye uzinduzi wa filamu hiyo Mlimani City jijini Dar es salaam.NA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM

KATIKA tasnia ya filamu hapa nchini tunaanza kupiga hatua kwa kiasi kikubwa sana kutokana na wasanii wengi kujituma kwa lengo la kutangaza kazi zao ndani na nje ya nchi, huku ikiwa njia mojawapo ya kujipatia kipato.

Siku zote tumekuwa tukiona filamu zetu za hapa ndani zikitazamwa kwa muda mfupi na zinaanza kusahaulika kutokana na uwezo mdogo wa wasanii kufanya filamu hiyo na kutokuwa na ubunifu wa kutosha.

Kwa sasa kumekua na tabia ya kuangalia filamu za nje...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UTITIRI HUU WA WAGOMBEA IWE FUNDISHO

Waziri mkuu Mizengo Pinda. Na Ojuku Abraham/Ijumaa
MWAKA 1985 wakati Mwalimu Julius Nyerere alipong’atuka serikalini na kubakia kuwa kwenye chama, nilikuwa bado mdogo nisiyejua hata kusoma magazeti. Lakini miaka kadhaa mbele, nikagundua kuwa uamuzi wa Baba wa Taifa, ulikuwa wa ghafla na ambao haukutegemewa. Nimesikia simulizi nyingi zinazomhusu Mwalimu, lakini karibu zote, zikimuonyesha kama mtu wa aina ya peke yake,...

 

10 years ago

GPL

LULU: NILIMTOLEA UVIVU SHABIKI IWE FUNDISHO

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja mtandaoni kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaomsema vibaya mitandaoni. Akizungumza na mwanahabari wetu mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho. “Yule alinikuta...

 

9 years ago

MillardAyo

Ninazo picha 20 za uzinduzi wa filamu mpya ‘Home Coming’.. mastaa wahudhuria

Mastaa mbalimbali leo Dec 29 walikutana cinema Mlimani City kwenye uzinduzi wa filamu mpya iliyopewa jina la Home Coming ambayo ndani ya movie hiyo kuna mastaa walioshiriki akiwemo Mzee Chilo na Hasheem Kambi, Bramsen, Olotu, Gordian, Munisi na wengineo. Hapa nimekusogezea baadhi picha uone jinsi tukio lilivyofanyika Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]

The post Ninazo picha 20 za uzinduzi wa filamu mpya ‘Home Coming’.. mastaa wahudhuria appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

News na Trailer ya movie mpya ya Watanzania ‘Home Coming’ baada ya kuonyeshwa CINEMA Dsm

Ni movie nyingine iliyoigizwa na Watanzania lakini ikapitia kwenye mikono ya Watengenezaji wenye sifa zinazotakiwa kwenye utayarishaji na utengenezaji wa movie kwenye dunia ya sasa…. Trailer yake na ilivyoonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye CINEMA Dar es salaam, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]

The post News na Trailer ya movie mpya ya Watanzania ‘Home Coming’ baada ya kuonyeshwa CINEMA Dsm appeared first on...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siku ya Wanawake iwe mwanzo mpya kwa wasanii wetu wa kike

MACHI 8 ya kila mwaka ni Siku ya Wanawake Duniani, ambayo husherehekewa kote duniani, ambapo Watanzania wanaungana na wengine kuipokea siku hiyo chini ya kaulimbiu ambayo kwa mwaka huu ni...

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA BONGO MOVIE

   Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Adam Mayingu (kushoto) akisalimiana na msanii Rose Ndauka wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga katika mfuko huo Dar es salaam juzi (kulia) ni msanii Ester Kiama.  Baadhi ya wasanii wakijadiliana jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF'  Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere a.k.a 'Steve...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi,Abdallah Bulembo (katikati) akiwasili katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuungana na wasanii kwenye dua maalum ya kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki.Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity,Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.Msanii wa vichekesho ambaye pia ni muinjilisti kwa sasa Emanuel Mgaya Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongoza dua kwa upande wa wakristo huku Msanii Jacob Stephen JB akiwa ameishikilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani