Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU: NILIMTOLEA UVIVU SHABIKI IWE FUNDISHO

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja mtandaoni kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaomsema vibaya mitandaoni. Akizungumza na mwanahabari wetu mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho. “Yule alinikuta...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Atoa fundisho Kwa Shabiki…

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja mtandaoni kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaomsema vibaya mitandaoni.

Akizungumza na mwanahabari wa GPL mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho.

“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram...

 

10 years ago

GPL

UTITIRI HUU WA WAGOMBEA IWE FUNDISHO

Waziri mkuu Mizengo Pinda. Na Ojuku Abraham/Ijumaa
MWAKA 1985 wakati Mwalimu Julius Nyerere alipong’atuka serikalini na kubakia kuwa kwenye chama, nilikuwa bado mdogo nisiyejua hata kusoma magazeti. Lakini miaka kadhaa mbele, nikagundua kuwa uamuzi wa Baba wa Taifa, ulikuwa wa ghafla na ambao haukutegemewa. Nimesikia simulizi nyingi zinazomhusu Mwalimu, lakini karibu zote, zikimuonyesha kama mtu wa aina ya peke yake,...

 

9 years ago

Mtanzania

‘Home Coming’ iwe fundisho kwa wasanii Bongo

Baadhi ya wasanii waliojitokeza juzi kwenye uzinduzi wa filamu hiyo Mlimani City jijini Dar es salaam.NA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM

KATIKA tasnia ya filamu hapa nchini tunaanza kupiga hatua kwa kiasi kikubwa sana kutokana na wasanii wengi kujituma kwa lengo la kutangaza kazi zao ndani na nje ya nchi, huku ikiwa njia mojawapo ya kujipatia kipato.

Siku zote tumekuwa tukiona filamu zetu za hapa ndani zikitazamwa kwa muda mfupi na zinaanza kusahaulika kutokana na uwezo mdogo wa wasanii kufanya filamu hiyo na kutokuwa na ubunifu wa kutosha.

Kwa sasa kumekua na tabia ya kuangalia filamu za nje...

 

9 years ago

Bongo Movies

Maneno ya Lulu kwa Mama Yake ni Fundisho Tosha

Mwigizaji Lulu ameandika haya jana kwenye ukurasa wake mtandaoni, ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mama yake mzazi.

lulu241
The pic Says all…!
Umenifundisha kujua thamani ya Mama Duniani,Umenifundisha urafiki wa kweli uko vipi,undugu WA kweli uko vipi.
Pale ambapo wote walikimbia,walikuwa kinyume Na Mimi Wewe Ndo ulisimama .
Naweza kuandika maneno Milioni lkn kiukweli hakuna namna ninayoweza kukuelezea na watu wakapata picha halisi ya ulivyo
Una mapungufu yako..Ndio sikatai .
Una mabaya yako…Ndio maana...

 

11 years ago

GPL

FUNDISHO LA MCHEPUKO, DAMU CHAPACHAPA

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally AMA kweli duniani kuna vituko! Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na majanga baada ya mwanaume aliyejulikana kwa jina la Yusuf Ally ‘Mgosi wa Ndima’ kudai amemfumania Baba Eliza akiwa na mkewe ambaye jina halikupatikana. Mgoni, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mandela katuachia fundisho, tutalitekeleza?

SIDHANI kama kuna mtu aliyepata kufa kwa furaha kama alivyokufa mzee wetu, Nelson Rolihlahla Dalibunga Mandela ‘Madiba.’ Hayo nayasemea kwa watu walioonja utamu wa kuongoza au kuwatawala wenzao, kwa sababu...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya MV Bukoba imetuachia fundisho gani?

Ni miaka 18 leo tangu tukio baya la kupinduka na hatimaye kuzama kwa meli ya MV Bukoba iliyokuwa ikitokea Bukoba mkoani Kagera kwenda Mwanza lilipoikumba sekta ya usafiri wa majini nchini.

 

10 years ago

Michuzi

NGEJELA: NIMEPATA FUNDISHO KUWANIA URAIS

 MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja akibadilisha mawazo na wabunge wenzake, Ezekiel Maige (Msalala) na Dk. Dalaly Peter Kafumu (Igunga), wakati aliporejesha fomu kwenye ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma.MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja, akirejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia CCM kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi, kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho mjini Dodoma, jana.
Na Mwandishi Maalum, Dodoma
MBUNGE...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani