Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali ya MV Bukoba imetuachia fundisho gani?

Ni miaka 18 leo tangu tukio baya la kupinduka na hatimaye kuzama kwa meli ya MV Bukoba iliyokuwa ikitokea Bukoba mkoani Kagera kwenda Mwanza lilipoikumba sekta ya usafiri wa majini nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mshikamano wa madereva umetuachia sisi fundisho gani

Saa nane pekee za siku ya Ijumaa, Aprili 10 mwaka huu zitabaki kwa muda mrefu kwenye kumbukumbu za Watanzania, mijini na vijijini.

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA AJALI YA MV BUKOBA

ILIKUWA Mei 21,1996 katika ziwa Victoria, meli ya MV Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha. Meli hiyo ilizama ikiwa imebakiza kilomita 30 kutia nanga kwenye bandari ya Jiji la Mwanza ikitokea mkoani Kagera. Leo ni miaka 18 tangu ajali hiyo itokee. Daima tutazidi kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza maisha katika ajali hiyo. ...

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 19 YA AJALI YA MV BUKOBA

Mnara uliopo eneo la Igoma, Mwanza kwenye makaburi ya baadhi ya watu waliokufa katika ajali hiyo. Makaburi ya baadhi ya marehemu wa ajali hiyo yaliyopo Igoma, Mwanza.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Leo ni Miaka 19 ya Kumbukumbu ya ajali ya MV Bukoba

bk2

 

Pichani ni mnara wa kumbukumbu ya eneo ambalo walizikwa watu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Bukoba hiyo mnamo Mei 21.1996.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Kila mwaka  ifikapo Mei  21, kama siku ya leo watanzania tunakumbuka  tukio la ajali mbaya iliyowahi kutokea katika nchi yetu ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba ndani ya ziwa Victoria, mnamo mwaka 1996. Kwa hali hiyo watanzaia tunaendelea kuwaombea ndugu  na jamaa waliotangulia mbele za haki.

Mtandao wako bora wa habari wa...

 

11 years ago

Michuzi

kumbumbu ya ajali ya meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopitta.

Miss Universe Tanzania 2007 na mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata leo amejumuika na wananchi wengine mkoani Mwanza katika Ibada maalum ya kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuwaombea marehemu waliopoteza maisha yao baada ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopitta.    Flaviana Matata, ambaye anafanyia shughuli zake   nchini Uingereza na Marekani ni mmoja wa watu  waliopoteza ndugu zao kwenye ajali hiyo. Yeye alimpoteza mama yake mzazi na Kaka yake. Mbali na kusindikizwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya Kivuko Korea Kusini: Inatukumbusha Mv Bukoba, MV Skagit

>Kutokana na uchungu alionao, haisikii mvua kubwa inayomnyeshea na upepo mkali unaoupiga mwili wake. Christine Kim amesimama ufukweni mwa bahari kwa zaidi ya saa tisa huku machozi yakimtiririka.

 

10 years ago

Vijimambo

Miaka 19 ya ajali Mv. Bukoba: Usafiri bado wa kubahatisha, Ahadi ya Rais kikwete haijatekelezwa.

Sehemu ya chini ya meli ya MV Bukoba iliyozama katika Ziwa Victoria na kuua mamia ya watu.
Ni kawaida kwa nchi yeyote kama ilivyo kwa watu binafsi, kuwa na utaratibu wa kuadhimisha matukio yaliyo muhimu katika historia ama maisha ya nchi zao, watu binafsi, jumuiya au taasisi.

Kwa ujumla, sherehe ama maadhimisho ya matukio ya aina hiyo muhimu, huweza kufanyika kwa namna mbili.
Kufanya kumbukumbu ya tukio au matukio ya furaha kwa upande mmoja, ama kumbukumbu ya tukio au matukio ya huzuni kwa...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YAADHIMISHA TENA IBADA YA KUWAKUMBUKA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA MV BUKOBA

UKIWA NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA KUSOMA IBADA NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI. 
MWAKA WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA MAKABURI HAYO YALIYOPO IGOMA JIJINI MWANZA.
FLAVIANA MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE SERVICE KWA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani