kumbumbu ya ajali ya meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopitta.
![](http://1.bp.blogspot.com/-RvjAXBPMtYI/U3zipQzDFWI/AAAAAAAFkRA/0VP8NqmQleU/s72-c/20140521-200130.jpg)
Miss Universe Tanzania 2007 na mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata leo amejumuika na wananchi wengine mkoani Mwanza katika Ibada maalum ya kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuwaombea marehemu waliopoteza maisha yao baada ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopitta. Flaviana Matata, ambaye anafanyia shughuli zake nchini Uingereza na Marekani ni mmoja wa watu waliopoteza ndugu zao kwenye ajali hiyo. Yeye alimpoteza mama yake mzazi na Kaka yake. Mbali na kusindikizwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 May
AY NA FRAVIANA MATATA WALIVYOUNGANA NA WATANZANIA KATIKA IBADA YA MIAKA KUMI NA NANE YA KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA JIJINI MWANZA.
Miss Universe Tanzania 2007 na mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata pamoja na msanii wa bongo fleva,Ambwene Yesaya'AY' siku ya jana walijumuika na wananchi wengine mkoani Mwanza katika Ibada maalum ya kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuwaombea marehemu waliopoteza maisha yao baada ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopita.
Flaviana Matata, ambaye anafanyia shughuli zake nchini Uingereza na Marekani ni mmoja wa watu waliopoteza ndugu zao kwenye ajali hiyo. Yeye alimpoteza mama...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5dnKmgW0EIPM0gH7jDErkUiLba*EYdloo1ieFyGc3Hhy7PnwejwqUjKNUF4DYpxGCPAnJzKj7MipWZ0dldas7j6OGNJfQMQZ/MVBukobaikizama.jpg?width=450)
KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA AJALI YA MV BUKOBA
10 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA MIAKA 19 YA AJALI YA MV BUKOBA
10 years ago
Dewji Blog21 May
Leo ni Miaka 19 ya Kumbukumbu ya ajali ya MV Bukoba
Pichani ni mnara wa kumbukumbu ya eneo ambalo walizikwa watu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Bukoba hiyo mnamo Mei 21.1996.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Kila mwaka ifikapo Mei 21, kama siku ya leo watanzania tunakumbuka tukio la ajali mbaya iliyowahi kutokea katika nchi yetu ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba ndani ya ziwa Victoria, mnamo mwaka 1996. Kwa hali hiyo watanzaia tunaendelea kuwaombea ndugu na jamaa waliotangulia mbele za haki.
Mtandao wako bora wa habari wa...
10 years ago
Vijimambo21 May
Miaka 19 ya ajali Mv. Bukoba: Usafiri bado wa kubahatisha, Ahadi ya Rais kikwete haijatekelezwa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/MV%20Bukoba-21May2015.jpg)
Ni kawaida kwa nchi yeyote kama ilivyo kwa watu binafsi, kuwa na utaratibu wa kuadhimisha matukio yaliyo muhimu katika historia ama maisha ya nchi zao, watu binafsi, jumuiya au taasisi.
Kwa ujumla, sherehe ama maadhimisho ya matukio ya aina hiyo muhimu, huweza kufanyika kwa namna mbili.
Kufanya kumbukumbu ya tukio au matukio ya furaha kwa upande mmoja, ama kumbukumbu ya tukio au matukio ya huzuni kwa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Kwanini ajali za meli hazitufunzi?
KWA mara nyingine tena tumepata msiba mkubwa wa watu kupoteza maisha yao wakisafiri kati ya Unguja na Pemba. Katika tukio la hivi karibuni boti ya Kilimanjaro II ilipigwa na dhoruba...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Wafanyakazi wanusurika ajali ya meli Ziwa Victoria Mwanza
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15.. (+Audio)
Hii stori imenifikia baada ya kuenea kwenye mitandao pamoja na picha zikionesha tukio la meli kuwaka moto Nimeipata ripoti pia kwenye habari ya ITV kwamba meli hiyo ya MV Royal imepata ajali ya kuwaka moto ikiwa katikati ya safari kutoka Unguja kwenda Pemba, moto huo umeunguza injini za meli hiyo lakini kwa bahati nzuri ikatokea […]
The post Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15.. (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-3fDd94n8Myk/VJu6qyYytiI/AAAAAAAA0QI/xm9xQVxp6C8/s72-c/TATSSSS.jpg)
MAZISHI YA WATU 15 KABURI MOJA HUKO KIGOMA! NI WALE WALIOPATA AJALI YA MELI!
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/E80A1091.jpg?zoom=1.5&resize=435%2C300)
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/E80A1169.jpg?zoom=1.5&resize=428%2C285)