Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Leo ni Miaka 19 ya Kumbukumbu ya ajali ya MV Bukoba

bk2

 

Pichani ni mnara wa kumbukumbu ya eneo ambalo walizikwa watu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Bukoba hiyo mnamo Mei 21.1996.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Kila mwaka  ifikapo Mei  21, kama siku ya leo watanzania tunakumbuka  tukio la ajali mbaya iliyowahi kutokea katika nchi yetu ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba ndani ya ziwa Victoria, mnamo mwaka 1996. Kwa hali hiyo watanzaia tunaendelea kuwaombea ndugu  na jamaa waliotangulia mbele za haki.

Mtandao wako bora wa habari wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 19 YA AJALI YA MV BUKOBA

Mnara uliopo eneo la Igoma, Mwanza kwenye makaburi ya baadhi ya watu waliokufa katika ajali hiyo. Makaburi ya baadhi ya marehemu wa ajali hiyo yaliyopo Igoma, Mwanza.…

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA AJALI YA MV BUKOBA

ILIKUWA Mei 21,1996 katika ziwa Victoria, meli ya MV Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha. Meli hiyo ilizama ikiwa imebakiza kilomita 30 kutia nanga kwenye bandari ya Jiji la Mwanza ikitokea mkoani Kagera. Leo ni miaka 18 tangu ajali hiyo itokee. Daima tutazidi kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza maisha katika ajali hiyo. ...

 

11 years ago

Michuzi

kumbumbu ya ajali ya meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopitta.

Miss Universe Tanzania 2007 na mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata leo amejumuika na wananchi wengine mkoani Mwanza katika Ibada maalum ya kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuwaombea marehemu waliopoteza maisha yao baada ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopitta.    Flaviana Matata, ambaye anafanyia shughuli zake   nchini Uingereza na Marekani ni mmoja wa watu  waliopoteza ndugu zao kwenye ajali hiyo. Yeye alimpoteza mama yake mzazi na Kaka yake. Mbali na kusindikizwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

Miaka 19 ya ajali Mv. Bukoba: Usafiri bado wa kubahatisha, Ahadi ya Rais kikwete haijatekelezwa.

Sehemu ya chini ya meli ya MV Bukoba iliyozama katika Ziwa Victoria na kuua mamia ya watu.
Ni kawaida kwa nchi yeyote kama ilivyo kwa watu binafsi, kuwa na utaratibu wa kuadhimisha matukio yaliyo muhimu katika historia ama maisha ya nchi zao, watu binafsi, jumuiya au taasisi.

Kwa ujumla, sherehe ama maadhimisho ya matukio ya aina hiyo muhimu, huweza kufanyika kwa namna mbili.
Kufanya kumbukumbu ya tukio au matukio ya furaha kwa upande mmoja, ama kumbukumbu ya tukio au matukio ya huzuni kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

LEO NI MIAKA 43 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA KARUME

Leo April 7, 2015 ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume tangu alipouwawa kwa kupigwa risasi siku kama ya leo mwaka 1872.

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA MZEE BUKUMBI YAFANYIKA BUPANDWAMHELA LEO

Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada. Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka 3 ya mzee Bukumbi.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Miaka mitatu ya kumbukumbu ya Bella kufanyika leo Makongo juu

Untitled

Bella 3rd Anniversary – Programme 24 April 2015.doc 

 

10 years ago

Vijimambo

LEO NI MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE

Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo wa kuona mbali, hata alipopingwa baadaye waliompinga walikiri ukweli wa maono yake. 
By Pius Msekwa
Ni dhahiri kwamba Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mambo mengi ya msingi aliyoyapa kipaumbele wakati wa uongozi wake. Jambo mojawapo alilisema Julai 29 Julai, 1985, kwamba: “Kazi iliyokuwa muhimu kuliko zote kwangu mimi, ilikuwa ni kujenga Taifa lenye umoja kwa msingi wa heshima na usawa wa binadamu”.

Lakini yapo mambo mengine mengi ya uongozi wake ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani