Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AY NA FRAVIANA MATATA WALIVYOUNGANA NA WATANZANIA KATIKA IBADA YA MIAKA KUMI NA NANE YA KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA JIJINI MWANZA.

Miss Universe Tanzania 2007 na mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata pamoja na msanii wa bongo fleva,Ambwene Yesaya'AY' siku ya jana walijumuika na wananchi wengine mkoani Mwanza katika Ibada maalum ya kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuwaombea marehemu waliopoteza maisha yao baada ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopita.Flaviana Matata, ambaye anafanyia shughuli zake nchini Uingereza na Marekani ni mmoja wa watu waliopoteza ndugu zao kwenye ajali hiyo. Yeye alimpoteza mama...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA

 Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani), katika semina ya siku moja juu ya Fursa zinazopatikana kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF, iliyofanyika jana jijini Mwanza Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.
Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YAADHIMISHA TENA IBADA YA KUWAKUMBUKA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA MV BUKOBA

UKIWA NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA KUSOMA IBADA NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI. 
MWAKA WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA MAKABURI HAYO YALIYOPO IGOMA JIJINI MWANZA.
FLAVIANA MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE SERVICE KWA...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA

  Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza…

 

11 years ago

Michuzi

kumbumbu ya ajali ya meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopitta.

Miss Universe Tanzania 2007 na mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata leo amejumuika na wananchi wengine mkoani Mwanza katika Ibada maalum ya kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuwaombea marehemu waliopoteza maisha yao baada ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba miaka 18 iliyopitta.    Flaviana Matata, ambaye anafanyia shughuli zake   nchini Uingereza na Marekani ni mmoja wa watu  waliopoteza ndugu zao kwenye ajali hiyo. Yeye alimpoteza mama yake mzazi na Kaka yake. Mbali na kusindikizwa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Flaviana Matata atoa elimu ya fursa mbalimbali zinazopatikana PSPF kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali jijini Mwanza

Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza.

Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.

Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko wa PSPF wakati wa semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi....

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA MNAKARIBISHWA KUHUDHURIA IBADA NA SHEREHE YA KUSIMIKWA {ORDINATION} KWA NDUGU YETU MOSES SHONGA JIJINI LONDON

Usharika wa St Anne’s Lutheran church unapenda kuwakaribisha wote kwenye ibada na sherehe ya kusimikwa (ordination) kuwa Mchungaji ndugu yetu Moses Shonga (pichani). 
Sherehe itaanza saa nane mchana (2.00pm) na kufuatia na sherehe pamoja na vyakula na vinywaji baada ya ibada. Nyote mnakaribishwa.


Anuani ni:

St Anne’s Lutheran church St Mary at Hill church


Lovat lane Eastcheap London EC3R 8EE


Kituo cha karibu ni monument tube station.


Mnakaribishwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujumbe wa mwisho kabla ya meli kuzama

"Huenda hii ndio mara yangu ya mwisho kukuambia nakupenda,'' ndio ulikuwa ujumbe wa mwanafunzi mmoja kwa mamake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kuzama meli:Wataka nahodha anyongwe

Waendesha mashitaka wa Korea Kusini wameomba adhabu ya kifo dhidi ya nahodha wa kivuko cha Sewol.

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WIZARA YA USHIRIKIANO ATEMBELEA MELI YA RV JUMUIYA JIJINI MWANZA

  Naibu Waziri Wizara  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Juma Abdulla Saadala  mwenye kofia akioneshwa namna Meli ya RV Jumuiya inavyofanya kazi ikiwa katika mwendo ndani Ziwa Victoria na nahodha wa meli hiyo  Captain Juma Nkwama jijini Mwanza.  Naibu Waziri wa Wizara  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Abdulla Saadala akitiasaini kitabu cha maudhurio ndani ya Meli ya RV Jumuiya.Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Saadala akifafanua ajambo ndani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani