UTITIRI HUU WA WAGOMBEA IWE FUNDISHO
![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-Dcb9tWU*4AOWpjws4dFshXDt9YyW9NexzPJOOboc5cw6t5BISPIp76mDXlGtSLua5u6zUipWM9DTxf9aD30Ae6N/MizengoPinda.jpg?width=650)
Waziri mkuu Mizengo Pinda. Na Ojuku Abraham/Ijumaa MWAKA 1985 wakati Mwalimu Julius Nyerere alipong’atuka serikalini na kubakia kuwa kwenye chama, nilikuwa bado mdogo nisiyejua hata kusoma magazeti. Lakini miaka kadhaa mbele, nikagundua kuwa uamuzi wa Baba wa Taifa, ulikuwa wa ghafla na ambao haukutegemewa. Nimesikia simulizi nyingi zinazomhusu Mwalimu, lakini karibu zote, zikimuonyesha kama mtu wa aina ya peke yake,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wjLHhX7eljwapr8QEMbM19*5tBYXl8ffOaUDEbd7bSPUFe1gbC43iuZlnsSlcKRYZopn1KIjJDtJYQj31CwIPvZ9JnaDhtBr/lulucopy.jpg?width=650)
LULU: NILIMTOLEA UVIVU SHABIKI IWE FUNDISHO
9 years ago
Mtanzania31 Dec
‘Home Coming’ iwe fundisho kwa wasanii Bongo
NA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM
KATIKA tasnia ya filamu hapa nchini tunaanza kupiga hatua kwa kiasi kikubwa sana kutokana na wasanii wengi kujituma kwa lengo la kutangaza kazi zao ndani na nje ya nchi, huku ikiwa njia mojawapo ya kujipatia kipato.
Siku zote tumekuwa tukiona filamu zetu za hapa ndani zikitazamwa kwa muda mfupi na zinaanza kusahaulika kutokana na uwezo mdogo wa wasanii kufanya filamu hiyo na kutokuwa na ubunifu wa kutosha.
Kwa sasa kumekua na tabia ya kuangalia filamu za nje...
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Waziri Mmarekani amuuliza JK utitiri wa wagombea urais
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/uxGn21PoPEM/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Utitiri huu ni demokrasia au uchu wa madaraka?
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Uamuzi huu wa kubomoa ghorofa uwe fundisho
9 years ago
Raia Mwema06 Nov
KWA CCM, uchaguzi huu uwe fundisho la mwisho — 1
USHINDI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 unabaki na utaendelea kub
Mwandishi Wetu
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Katiba iwe ajenda kwa wagombea CHADEMA
KATIKA hekaheka za uchaguzi zinazoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA), wanachama wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali. Jicho langu kwa leo limeangazia katika uchaguzi wa wagombea wa nafasi ya...
10 years ago
Habarileo05 Aug
Kinana: Uchaguzi mwaka huu utakuwa wagombea na makapi
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, utakuwa kati ya wagombea na makapi ya CCM na wananchi watachagua wagombea wa chama hicho tawala.