Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mmarekani amuuliza JK utitiri wa wagombea urais

Waziri Mdogo wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeongoza Kitengo cha Masuala ya Afrika, Linda Thomas-Greenfield amemuuliza Rais Jakaya Kikwete iwapo ana mtu wake katika orodha ndefu ya makada waliojitokeza kuomba kuwania urais kwa tiketi ya CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UTITIRI HUU WA WAGOMBEA IWE FUNDISHO

Waziri mkuu Mizengo Pinda. Na Ojuku Abraham/Ijumaa
MWAKA 1985 wakati Mwalimu Julius Nyerere alipong’atuka serikalini na kubakia kuwa kwenye chama, nilikuwa bado mdogo nisiyejua hata kusoma magazeti. Lakini miaka kadhaa mbele, nikagundua kuwa uamuzi wa Baba wa Taifa, ulikuwa wa ghafla na ambao haukutegemewa. Nimesikia simulizi nyingi zinazomhusu Mwalimu, lakini karibu zote, zikimuonyesha kama mtu wa aina ya peke yake,...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri wa Mkapa awakingia kifua wagombea urais

Mwanasiasa na mkongwe aliyewahi kuwa waziri katika Awamu ya Tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa, Njelu Kasaka amekishauri chama chake cha CCM kuwaruhusu wanachama wanaotaka kuwania urais kujitangaza.

 

9 years ago

Mwananchi

Ndoto za wagombea urais

W agombea urais John Magufuli (CCM), Edward Lowassa (Chadema) na Anna Mghwira (ACT-Wazalendo), wanaendelea kuomba ridhaa ya Watanzania ili kuunda Serikali ya Awamu ya Tano, huku kila mmoja akija na sera anayoamini kuwa ni nzuri na tofauti  na mwenzake.

 

10 years ago

Habarileo

Mzindakaya alipua wagombea urais

Dk Chrisant MzindakayaSIKU chache baada ya utafiti wa taasisi ya Twaweza kuanikwa na kuonekana kupandisha joto la uchaguzi mkuu wa mwaka kesho, mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya ameibuka na kuwataka wagombea wa nafasi nyeti kama ya urais, kujikita katika siasa safi na za kisasa zaidi.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM kitanzini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwapungia maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma jana, kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha Miaka 38 ya Kuzaliwa kwa CCM.MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea hawa wa urais walipatikanaje?

Wengi wanaweza kueleza namna ambavyo CCM na Chadema waliweza kuwapata wagombea wao wa urais, lakini sio wote wanaweza kueleza michakato hiyo ilifanyikaje ndani ya vyama vya NRA, ADC, UPDP, TLP.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wagombea urais Tucta waonywa

WAJUMBE wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), wametakiwa kujitambua na kujitathmini pindi wanapotaka kugombea nafasi mbalimbali katika shirikisho hilo hususani urais. Rai hiyo ilitolewa na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ahadi za wagombea urais zinashangaza

AHADI lukuki zimetolewa na zinaendelea kutolewa kwa wapiga kura na wagombea urais wa Jamhuri ya M

Joseph Mihangwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani