Waziri wa Mkapa awakingia kifua wagombea urais
Mwanasiasa na mkongwe aliyewahi kuwa waziri katika Awamu ya Tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa, Njelu Kasaka amekishauri chama chake cha CCM kuwaruhusu wanachama wanaotaka kuwania urais kujitangaza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Pinda awakingia kifua wanavyuo wasiolipa ada
11 years ago
Dewji Blog22 Jun
Mtevu awakingia kifua mamalishe dhidi ya bomoabomoa Temeke
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akitazama hali ilivyobaki baada ya bomoabomoa iliyofanywa na Jiji kwenye vibanda vya mamalishe katika mtaa wa Mbozi, Temeke.
Na Mwandishi Wetu
BOMOA Boboa ya vibanda vya mamalishe katika eneo la Viwanda la Mbozi, Temeke Dar es Salaam, limezua mtafaruku kufuatia mbunge wa jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kuwakingia kifua mamalishe hao.
Pamoja na kuahidi kuchukua hatua ya kupambana kisheria na Halmashuri ya Jiji la Dar es Salaam, inayoendesha bomoa boboa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*jgfb9S4pHFANVh04RKyU1aOPpeCOKMmX0wn2oJV0H2I1sTfcX1et4XffvbGXMEBFXa9Zjf4VFENGuTRoxy8OV/3.Mtemvuakishangaa.jpg)
MTEMVU AWAKINGIA KIFUA MAMALISHE DHIDI YA BOMOABOMOA TEMEKE
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Waziri Mmarekani amuuliza JK utitiri wa wagombea urais
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Ndoto za wagombea urais
9 years ago
Mtanzania22 Aug
Wagombea wanne wapitishwa urais
Aziza Masoud na Grace Shitundu, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua wagombea urais wanane kati ya 13 waliochukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Idadi hiyo inataka kufanana na ile ya mwaka 2010 ambapo Tume hiyo iliteua wagombea saba kuwania nafasi hiyo.
Wagombea waliokidhi vigezo na kuteuliwa na NEC ni pamoja na Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na...
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Wagombea urais wasikwepe midahalo
10 years ago
Mtanzania30 May
Wagombea urais wavunja rekodi
NA MWANDISHI WETU
IDADI ya makada wanaotajwa kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa inaweza kufikia 30, baada ya wengine wengi kutarajia kujitokeza kuanzia wiki ijayo, MTANZANIA Jumamosi limedokezwa.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili kutoka katika vyanzo mbalimbali vya habari ndani na nje ya CCM zinadai kuwa idadi hiyo inaweza kuongezeka na pengine hata kufikia wagombea 35, kutokana na baadhi ya makada waliohudhuria vikao vya juu vya chama...
10 years ago
Mtanzania04 Sep
Wagombea urais CCM wavurugwa
![Abdulrahman Kinana](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Abdulrahman-Kinana.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KATIKA kile kinachoonekana ni kuvuruga kambi za wagombea urais mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepangua makatibu wa mikoa 17 kwa kuwahamisha vituo vyao vya kazi.
Makatibu hao ni pamoja na Mary Chatanda aliyekuwa Mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa amehamishiwa Singida.
Chatanda kwa muda mrefu amekuwa na msuguano ndani ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Arusha, huku kiini chake kikidaiwa ni misimamo tofauti ya vijana hao...